MEXICO CITY, Mexico
IVORY Coast ikiwa mbele kwa bao 1-0, kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani, alimuinua kwenye benchi Deniz Undav aliyeingia...
Na Christopher Msekena
MWIMBAJI wa muziki wa Injili nchini, Bernard Mwambungu, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi makubwa ya albamu yake The Living Testimony.
Mwambungu ameanza kuachia nyimbo...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, anajiandaa kujiuzulu.
“Keir Starmer atajiuzulu katika nafasi yake ya Waziri...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BAADA ya kuitazama Azam ikiifunga Yanga na kutinga fainali ya Kombe la FA, mashabiki wa Simba wameonesha kutoridhishwa na matokeo hayo.
Yanga...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI wengine wakiamini DRC imefeli katika diplomasia na ulinzi, vita vinavyoendelea nchini humo vinahusishwa pia na hila za mataifa makubwa duniani.
Kwamba...
MUNICH, Ujerumani
LEJENDARI wa Bayern Munich, Thomas Muller, ameishauri klabu ya Manchester United kumsajili kiungo wa Freiburg, Johan Manzambi.
Ushauri wa Muller umetokana na kiwango kizuri...
CALIFORNIA, Marekani
FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zimeshuhudia historia nyingi zikiandikwa lakini moja ya hizo ni uwepo wa Dk. Suzanne Huurman.
Katika...
MEXICO CITY, Mexico
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Neymar, anaweza kuwa fiti kuivaa Scotland katika...
WASHINGTON DC, Marekani
SERIKALI ya Marekani imetangaza kusitisha ufadhili wa programu zote za mapambano dhidi ya Ukimwi nchini Afrika Kusini.
Afrika Kusini inaongoza duniani kwa kuwa...
TEHRAN, Iran
MAMLAKA za Iran zimetangaza hatua yake ya kuufunga kwa mara nyingine Mlango-Bahari wa Hormuz, huku ikilaani mashambulizi ya Israel nchini Lebabon.
Hatua hiyo ya...