DAKAR, Senegal
MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 – Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada.
Kuelekea michuano hiyo, hawa ndiyo wachezaji 26 walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal.
Makipa: Edouard Mendy (Al Ahli), Mory Diaw (Le Havre AC), na Yehvann Diouf (Nice).
Mabeki: Krepin Diatta (Monaco), Antoine Mendy (Nice), Kalidou Koulibaly (Al-Hilal), El Hadji Malick Diouf (West Ham), Mamadou Sarr (Chelsea), Moussa Niakhate (Lyon), Moustapha Mbow (Paris FC), Abdoulaye Seck (Maccabi Haifa), Ismail Jakobs (Galatasaray), na Ilay Camara (Anderlecht).
Viungo: Idrissa Gana Gueye (Everton), Pape Gueye (Villarreal), Lamine Camara (Monaco), Habib Diarra (Sunderland), Pathe Ciss (Rayo Vallecano), Pape Matar Sarr (Tottenham), na Bara Sapoko Ndiaye (Bayern Munich).
Washambuliaji: Sadio Mane (Al Nassr), Ismaila Sarr (Crystal Palace), Iliman Ndiaye (Everton), Assane Diao (Como), Ibrahim Mbaye (PSG), Nicolas Jackson (Chelsea), Bamba Dieng (Lorient), na Cherif Ndiaye (Samsunspor).


