Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Rais Samia azungumza na Kaimu Balozi wa Marekani

Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS  Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, wakijikita katika  kudumisha ushirikiano wa...

Waziri Simbachawene  aagiza Jeshi la Polisi  kukamata watuhumiwa kwa staha

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amemuagiza  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura kuhakikisha ukamataji wa watuhumiwa unafanywa kwa kufuata...

Yanga, Azam FC zachekelea, Simba akifa kwa Mkapa

Na Winfrida Mtoi, Gazetini LIGI Kuu Tanzania Bara imeendelea leo Novemba 7, 2025 kwa michezo miwili kupigwa ambapo Yanga na Azam zimefanikiwa kuondoka na alama...

Abou Mayalla; Kipa wa viwango Comoro anayeitaka jezi Taifa Stars

Na Hassan Mwasha, Gazetini ABOUBAKAR Mayalla ni miongoni mwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi, akiamini ni suala la muda tu...

Serikali yawekeza Tril. 13.5 kuboresha umeme, yazindua mita janja

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI imeendelea kuimarisha sekta ya nishati kupitia uwekezaji mkubwa wa zaidi ya Sh trilioni 13.5 katika miradi 41 ya umeme nchini,...

Simba v Azam; Dk. 90 za kisasi, hasira za CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI Jumapili ya wiki hii, ambapo Simba watakuwa wenyeji wa matajiri wa Chamazi, Azam FC, ukiwa ni mwendelezo wa mechi za...

Nyuma ya pazia ugomvi wa Rais Trump, Maduro

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kumpa presha mwenzake wa Venezuela, Nicolas Maduro.Hivi karibuni, utawala wa Trump ulitangaza kuongeza mara mbili zawadi...

Alexander‑Arnold nje miezi miwili Madrid

MADRID, Hispania BEKI wa Real Madrid na timu ya taifa ya England, Trent Alexander‑Arnold, atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili akiuguza majeraha ya paja. Mlinzi...

Ahmed Ally: Simba itatinga robo fainali CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini BADO Simba ina nafasi ya kushinda mechi zilizobaki na kuingia robo fainali ya msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa...

Miaka 14 bila Muammar Gaddafi; Walibya wamekipata walichokitaka?

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAKATI wananchi wa Libya walipoingia barabarani katika miji mbalimbali Februari, 2011, kilio chao kikubwa kilikuwa ni uhuru, ambao waliamini wanaukosa chini...

Wabunge Kenya wawajia juu wanajeshi Uingereza

NAIROBI, Kenya BUNGE la Kenya limewashutumu wanajeshi wa Uingereza likiwataja kufanya vitendo vya udhalilishaji walipokuwa kwenye mafunzo nchini humo. Kwa miaka mingi, vikosi vya jeshi...

Kiongozi wa upinzani akamatwa, kufungwa miaka mitano

TUNIS, Tunisia MWANASIASA maarufu wa upinzani nchini Tunisia, Ayachi Hammami, amekamatwa na polisi ili kwenda kutumikia kifungo cha miaka mitano gerezani. Hammami ni miongoni mwa...