Na Emmanuel Mgimwa – Gazetini
Katika nyanda kame za Kaskazini mwa Tanzania, lipo Ziwa Natron eneo la kimataifa la Ramsar na nyumbani kwa asilimia 75...
MADRID, HispaniaKLABU ya Real Madrid imeanza harakati za kuinasa huduma ya mlinda mlango wa Barcelona, Marc-Andre Ter Stegen.Ripoti zinaeleza kuwa kocha wa Madrid, Xabi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Klabu ya Simba SC imepanda hadi nafasi ya tano katika viwango vipya vya ubora vya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF),...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kuwa Mkutano Mkuu wake utafanyika Septemba 7, mwaka huu.Taarifa rasmi ya Yanga kwa wanachama wake imeweka...
LONDON, Uingereza
MSIMU uliopita, tuzo maarufu ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya jarida la France Football, Ballon d'Or, ilitua mikononi mwa kiungo wa Manchester City...
LAGOS, NigeriaKOCHA wa timu ya soka ya wanawake ya Nigeria (Super Falcons), Justine Madugu, ameandika historia baada ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za...
CAIRO, MisriVIGOGO wa soka Misri, Zamalek, wamekamilisha usajili wa kiungo wa pembeni wa kimataifa wa Brazil, Juan Alvina.Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22,...
LONDON, England
MWENYEKITI wa Tottenham, Daniel Levy, amefichua kuwa mkataba wa Harry Kane una kipengele kinachowaruhusu kumsajili kwa mara nyingine. Kane, nahodha wa timu ya...
MERSYSIDE, EnglandBAADA ya kumalizana na Al-Hilal, Darwin Nunez atavuna mshahara wa Pauni milioni 20 (takriani Sh bil. 68 za Tanzania) kwa mwaka kutoka kwa...
PARIS, UfaransaALIPOFUNGIWA kujihusisha na soka kwa miaka minne baada ya kubainika kutumia dawa za kuongeza nguvu, maswali yalikuwa mengi juu ya hatima ya kiungo...
MUNICH, UjerumaniJINA la Thomas Muller limetua Ligi Kuu ya Marekani (MLS) baada ya mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani kujiunga na Vancouver Whitecaps akitokea...