26 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

McTominay ndani tuzo za Ballon d’Or

MANCHESTER, EnglandUKIWA ni mwaka mmoja tu umepita tangu alipoondoka Manchester United, Scott McTominay ameingia kwenye kinyang'anyiro cha kuiwania tuzo ya mwaka huu ya Ballon...

United, Spurs zatabiriwa majanga msimu ujao

LONDON, UingerezaKWA mujibu wa mtandao maarufu wa takwimu wa Supercomputer, Manchester United na Tottenham zitamaliza vibaya msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL).Si...

Utu au masilahi binafsi? Sababu za Saudia kuipigania Palestina

RIYADH, Saudi ArabiaSERIKALI ya Saudi Arabia iko mstari wa mbele ikiiunga mkono Palestina katika harakati za za kutaka kutambulika kama nchi huru nje ya...

Kwanini viongozi Afrika hukimbilia kutibiwa nje?

LUSAKA, Zambia HIVI karibuni, Afrika iliwapoteza marais wastaafu wawili kutoka mataifa ya Nigeria na Malawi, Muhammadu Buhari na Edgar Lungu, ambao wote walikuwa nje ya...

Salum Mwalimu mgombea urais Chaumma, Devota Minja mgombea mwenza

Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimemtangaza Salum Mwalimu kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...

Mfanyabiashara ahukumiwa jela maisha kwa kubaka mtoto wa miaka minne

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Wilaya ya Mbozi imemtia hatiani na kumhukumu kifungocha maisha gerezani, mfanyabiashara Athuman Mtibwa (35) na kulipa kiasi cha fidia milioni...

Taifa Stars yaendelea kutoa vichapo CHAN

Na Mwandishi Wetu Bao pekee la Shomary Kapombe dakika ya 89, limeipa ushindi wa 1-0 Taifa Stars dhidi ya Mauritania katika mchezo wa michuano ya...

Maendeleo ya elimu ni mkombozi wa Taifa lolote duniani- Majaliwa

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maendeleo katika sekta ya elimu ni mkombozi na mafanikio ya Taifa lolote duniani. Amesema kwa kutambua hilo,...

Dodoma Jiji yatambulisha mrithi wa Maxime, kiungo

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Dodoma Jiji yamtangaza kocha Vincent Mashami kutoka Polisi FC ya Rwanda akichukua nafasi ya Mecky Maxime aliyeondoka mwishoni  msimu uliomalizika. Kwa mujibu...

Usyk; mbabe wa ulingo, kiboko ya mabondia wa Uingereza

LOS ANGELES, MarekaniSTAA wa ngumi za uzito wa juu, Oleksandr Usyk, ndiye bingwa wa dunia baada ya kumdunda kwa 'KO' ya raundi ya tano...

Son alivyoacha ufalme wake Tottenham, EPL

LONDON, UingerezaUKILIWEKA kando jina la Harry Kane, Son Heung-min anaweza kuwa mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika klabu ya Tottenham kwa miaka ya hivi...

Trump ameikabidhi Afrika mikononi mwa China?

PRETORIA, Afrika KusiniMATAIFA ya Afrika yanakabiliwa na kiwango cha juu cha ushuru kwa bidhaa zake zitakazoingia Marekani, ikiwa ni sera ya utawala wa Rais...