Ads: info@gazetini.co.tz |
21.2 C
Dar es Salaam

World

City v United … Guardiola kumfukuzisha kazi Amorim?

MANCHESTER, UingerezaNI Jumapili ya wiki hii, ambapo nyasi za Uwanja wa Etihad zitabeba uzito wa dakika 90 za 'derby' ya jijini Manchester.Manchester City watakaokuwa...

Barca imemchoka Rashford, kumrudisha Man United

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona inaangalia uwezekano wa kuiambia Manchester United imchukue mshambuliaji wake raia wa England, Marcus Rashford.Rashford alijiunga na Barcelona kwa mkopo akitokea...

Chart| Liverpool yaongoza matumizi soko la usajili

MERSEYSIDE, England LIVERPOOL ndiyo klabu ya Ligi Kuu ya England iliyotumia fedha nyingi zaidi wakati wa dirisha kubwa la usajili wa kiangazi barani Ulaya. Usajili huo...

Umoja wa Mataifa waonya uhalifu wa kivita DRC

KINSHASA, DRCUMOJA wa Mataifa umezionya pande mbili zinazopigana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ukisema zinahusika katika uhalifu wa kivita nchini humo.Licha ya...

Ebola yarejea DRC, yaua watu 15

KINSHASA, DRCSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetangaza maambukizi mapya ya Ebola na vifo 15 vitokanavyo na ugonjwa huo.Ikumbukwe, hizi ni taarifa...

Ni mwisho wa ufalme wa Mourinho soka la Ulaya?

LONDON, UingeerezaJOSE Mourinho, maarufu zaidi kwa jina la 'Special One', hana kazi kwa sasa baada ya klabu ya Fenerbahce kumfungashia virago hivi karibuni.Mourinho alifutwa...

Xavi Simons; ‘Fundi’ wa La Masia aliyezikataa Chelsea, Man City

LONDON, EnglandWAMELAMBA dume! Kupitia usajili wa dirisha kubwa wa majira haya ya kiangazi barani Ulaya, Tottenham ilikamilisha dili la kumnasa kiungo wa kimataifa wa...

Mwelekeo wa makoloni ya Ufaransa barani Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniMIAKA 65 iliyopita, mataifa 14 ya Afrika yalipata uhuru kutoka kwa Ufaransa. Je, ni kwa kiasi gani yamepiga hatua tangu mwaka...

Vigogo EPL ‘watatoboa’ msimu huu Ligi ya Mabingwa?

LONDON, UingerezaKWA mara ya kwanza katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, timu sita za Ligi Kuu ya England (EPL) zitashiriki msimu huu wa...

Mechi nne tu zafukuzisha kocha Al Ahly

CAIRO, MisriUONGOZI wa klabu ya Al Ahly umemfuta kazi kocha wake raia wa Hispania, Jose Riveiro, ikiwa ni baada ya mechi nne tu za...

Guardiola afunguka kilichoiponza City kwa Brighton

MANCHESTER, UingerezaBAADA ya kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Brighton, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, ameeleza sababu ya kupoteza mchezo huo wa Ligi...

Rais Indonesia aibuka, alaani maandamano

JAKARTA, IndonesiaRAIS wa Indonesia, Prabowo Subianto, ameyaita kuwa ni uhaini na ugaidi maandamano ya raia yanayoendelea nchini humo.Indonesia, Taifa la Kusini-Mashariki mwa Asia, inakabiliwa...

Recent articles