LONDON, Uingereza
ARSENAL hawajarudi nyuma katika mpango wao wa kumsajili nahodha wa kikosi cha Newcastle United, Bruno Guimaraes.
Taarifa zinaeleza kuwa Washika Bunduki wako kwenye meza...
CATALUNYA, Hispania
NI ushauri wa mkongwe Andres Iniesta, akiitaka klabu yake ya zamani ya Barcelona kumsajili straika wa Galatasaray, Victor Osimhen.
Kwa mujibu wa Iniesta, nyota...
NYON, Uswis
MKONGWE wa Arsenal, Arsene Wenger, amekana kuhusika katika uliokuwa mpango wa Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, kuuza hisa...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa Chelsea, Moises Caicedo, amekiri kuwa hatamani kuona staa mwenzake, Enzo Fernandez, akiondoka klabuni hapo kama inavyoelezwa na vyombo vya habari.
Caicedo ameeleza...
2–3 September 2026 | Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair Grounds, Dar es Salaam, Tanzania
Africa's agriculture, livestock, and food processing sectors are entering a new...
CARACAS, Venezuela
SIKU chache zilizopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Felix Plasencia, alitangaza uamuzi wa nchi hiyo kuondosha uanachama wake katika Mahakama ya...
LAGOS, Nigeria
KWA miaka mingi sasa, Nigeria imegubikwa na matukio ya uhalifu katika maeneo yake mengi. Watu takribani 3,000 wametekwa kwa kipindi cha mwaka mmoja...
NAYPYIDAWA, Myanmar
KWA wananchi wa Myanmar, siasa zinawapitisha katika ukurasa mpya uliojaa machungu ya kukimbia nyumba na familia zao ili kujinusuru na utawala wa kijeshi...
ATHENS, Ugiriki
AJALI ya helikopta mbili za kukabiliana na majanga ya moto zilizogongana nchini Ugiriki imesababisha vifo vya wafanyakazi wake wawili.
Katika ajali hiyo iliyotokea wakati...
CARDIFF, Wales
WALES imekuwa nchi ya kwanza kutangaza kutokumuunga mkono Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, katika mpango wake wa kuwania...
CHICAGO, Marekani
LIVERPOOL chini ya kocha mpya, Andoni Iraola, imetandikwa mabao 4-2 na Leeds United katika mchezo wao wa mwisho wa maandalizi ya msimu ujao...
MANCHESTER, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Antoine Semenyo, amesifia aina ya uchezaji wa timu hiyo chini ya kocha mpya raia wa Italia, Enzo Maresca.
Semenyo ametoa...