Na Mwandishi Wetu
Nyota wa Pyramids, Fiston Mayele ameingia katika tatu bora ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa klabu kwa Afrika kwa mwaka...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Simba imeondolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora Afrika ambapo CAF imetangaza timu tatu zilizoingia fainali ya kuwania...
MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amewataka mabosi wa klabu hiyo kufanikisha usajili wa kiungo wa Nottingham Forest, Elliot Anderson.Awali, Man United walikuwa...
RIO, BrazilKOCHA wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amesema beki wake, Gabriel, atafanyiwa vipimo baada ya majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya...
CAIRO, Misri
MSIMU huu wa fainali za Mataifa Afrika (AFCON) utaanza Desemba 21, mwaka huu, na kumalizika Januari 18, mwakani.
Kama ilivyo kawaida, fainali hizo huzipa...
LONDON, UingerezaKLABU ya Chelsea imeinasa saini ya kinda mwenye umri wa miaka 16 kutoka katika kikosi cha Independiente del Valle ya Ecuador, Deinner Ordonez.Independiente...
LONDON, UingerezaTUKIO la Raheem Sterling kuvamiwa na majambazi akiwa na familia yake nyumbani limetikisa vyombo vya habari barani Ulaya, ikiwa ni mara ya pili...
Na mwandishi wetu, GazetiniSOKA la wanawake nchini Korea ya Kaskazini limepata mafanikio makubwa katika miaka ya hivi karibuni, ambapo timu yake ya vijana wenye...
LONDON, UingerezaLICHA ya kwamba dirisha dogo halitafunguliwa hadi Januari, mwakani, kwa sasa klabu za soka barani Ulaya zinaruhusiwa kusajili wachezaji huru (waliomaliza mikataba).Makala haya...
LAGOS, NigeriaTIMU ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles' imeingia fainali ya hatua ya mtoano (playoffs) ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani...
MANCHESTER, UingerezaMANCHESTER United chini ya kocha Ruben Amorim iliuanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL).Kati ya mechi sita za mwanzo, ilishinda...