Ads: info@gazetini.co.tz |
23.6 C
Dar es Salaam

Michezo

Sofapaka haitanii, yasajili mastaa 11

NAIROBI, Kenya VIGOGO wa Ligi Kuu ya Kenya, Sofapaka FC, wamefanya balaa zito kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo, ambapo imetema wachezaji 11. Mkakati huo...

Dk. Mwigulu ajadiliana na Kamati ya Maandalizi AFCON 2027

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amekutana na  Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa...

‘Machaka’ 6 ya Ronaldo akiondoka Saudia

RIYADH, Saudi Arabia LICHA ya mkataba wake kumalizika mwaka 2027, huenda Cristiano Ronaldo akaondoka Al-Nassr mwishoni mwa msimu huu wa 2025-26. Taarifa zilizopo zinadai kuwa nahodha...

Coastal Union yawatembezea kichapo maafande

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Coastal Union imetembeza kichapo cha mabao 4-1 kwa maafande wa Magereza Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Mnyama Simba hasira zote kwa KMC kesho

 Na Winfrida Mtoi, Gazetini KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Steve Barker ameweka wazi kuwa hakuna mechi rahisi ya Ligi Kuu, lakini wamejipanga kuhakikisha wanachukua...

Mastaa wa soka wanaotokea familia tajiri Ulaya

LONDON, Uingereza MCHEZO wa soka una historia kubwa ya kuwainua na kuwapa utajiri wachezaji wanaotoka katika familia za kimasikini. Miongoni mwao ni mkongwe wa soka la...

Visual| Wakali 10 wa mauzo ya jezi Ulaya

LONDON, Uingereza MAUZO ya jezi ni sehemu muhimu ya vyanzo vya mapato ya klabu za soka duniani kote, zikivuna mabilioni ya fedha kutokana na biashara...

Gamondi anasubiriwa yeye tu kusaini mkataba rasmi, kukabidhiwa Stars mazima

Na Winfrida Mtoi, Gazetini WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa muda wowote, kocha Miguel Gamondi atasaini rasmi mkataba wa kuifundisha...

Mbappe awekwa ‘levo’ za Ronaldo

MADRID, Hispania KWA mujibu wa kocha wa Real Madrid, Alvaro Arbeloa, Kylian Mbappe ana mchango mkubwa kikosini, kama alivyokuwa Cristiano Ronaldo miaka kadhaa iliyopita. Alberoa ametoa...

Merino wa Arsenal nje msimu mzima

LONDON, Uingereza HABARI mbaya kwa mashabiki wa Arsenal ni kwamba kiungo wao raia wa Hispania, Mikel Merino, hatarejea dimbani hadi msimu ujao. Moreno amekosekana katika mechi...

Staa mpya Liverpool apata majanga

MERSEYSIDE, Uingereza NYOTA mpya wa Liverpool, Jeremy Jacquet, amepata majeraha ya bega akiwa uwanjani kuitumikia Rennes ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1). Mfaransa huyo mwenye...

Enrique hana mpango na Man United

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG raia wa Hispania, Luis Enrique, havutiwi na mpango wa kuinoa Manchester United, licha ya kuhusishwa na klabu hiyo kwa ajili...

Recent articles