9.5 C
New York

Mainoo anukia mkataba mpya United

Published:

MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester United itatangaza kumpa mkataba mpya nyota wake, Kobbie Mainoo, kabla ya msimu huu kumalizika.
Mainoo (21), alianza katika mchezo uliopita dhidi ya Chelsea na kufunga bao pekee katika mchezo huo, akitumia ‘asisti’ ya Matheus Cunha.
Nyota huyo amekuwa kwenye kiwango bora chini ya kocha Michael Carrick aliyeajiriwa kwa muda kuziba pengo la Ruben Amorim.
Kwa mujibu wa takwimu za mechi 13 zilizopita, Carrick amempa nafasi ya kuingia ‘first eleven’ mara 12.
Taarifa zinaeleza kuwa tayari Man United imeshaanza mazungumzo na wakala wa mchezaji huyo raia wa England.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img