Ads: info@gazetini.co.tz |
20.8 C
Dar es Salaam

Michezo

Didier Drogba awa aamsha shangwe bungeni Dodoma

Na Mwandishi Wetu Shangwe​  zimetawala  katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 4, 2026,   baada ya gwiji wa soka duniani na nahodha wa zamani...

PSG yamfungia kazi Harry Kane

LONDON, Uingereza GAZETI la Bild la Ujerumani limeripoti kuwa mabosi wa klabu ya PSG wanaweza kulitikisa soko la usajili duniani kwa kumchukua straika wa Bayern...

Parlour aishauri Arsenal kumsajili Alvarez

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Ray Parlour, ameishauri klabu hiyo kuharakisha usajili wa mshambuliaji wa kati wa Atletico Madrid, Julian Alvarez. Parlour raia wa England, anaamini...

John Stone: Nyota iliyofunikwa na majeraha Man City

MANCHESTER, Uingereza AMETANGAZA kuwa huu ni msimu wake wa mwisho kucheza Manchester City. Ni John Stone, beki wa kati wa kimataifa wa England. Stones atakuwa amemaliza...

Arsenal, Atletico kumaliza ubishi nusu fainali Ligi ya Mabingwa

LONDON, Uingereza ARSENAL watakuwa ugenini nchini Hispania kuwakabili Atletico Madrid katika mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaochezwa kesho Aprili 29, 2026. Baada...

PSG, Bayern ni ‘weka tuweke’ nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

LONDON, Uingereza PSG wataikaribisha Bayern Munich katika nusu fainali ya kwanza msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchezo utakaochezwa kesho Aprili 28, 2026 mjini...

Rooney: Saka amerudi kuipa ubingwa Arsenal

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney, anaamini kurejea dimbani kwa Bukayo Saka kutaipa nguvu kubwa Arsenal katika mbio zake za ubingwa wa Ligi...

Becker akaribia kutua Juventus

MERSEYSIDE, England MLINDA mlango wa Liverpool, Alisson Becker, yuko kwenye hatua nzuri ya kujiunga na vigogo wa Serie A, Juventus. Juventus wanampigia hesabu Mbrazil huyo mwenye...

Yanga v Simba: Nani ‘ataacha ndala’ huko Visiwani?

Na mwandishi wetu, Gazetini WATOTO wa mjini wakikwambia ‘utaacha ndala’, huwa wanamaanisha utakutana na kitu kizito. Je, ni mashabiki wa Yanga au Simba watakaokutwa na...

Mamelodi V Fa Rabat: ‘Litakufa jitu’ fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

CAIRO, Misri MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya vigogo wa soka la Morocco, FA Rabat, katika mtanange wa kukata na shoka wa fainali ya...

Hapatoshi! Ni nusu fainali ya wanawake Ligi ya Mabingwa Ulaya

BERLIN, Ujerumani TIMU ya soka ya wanawake ya Arsenal ndiyo mabingwa watetezi na sasa wataivaa Lyon katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa...

Gallas: Simeone ataipa mataji Chelsea

LONDON, Uingereza BEKI wa kati wa zamani wa Chelsea, William Gallas, anaamini Diego Simeone ndiye kocha sahihi wa kupewa mikoba ya kuinoa timu hiyo. Chelsea wanahitaji...

Recent articles