Ads: info@gazetini.co.tz |
20.8 C
Dar es Salaam

Michezo

Arsenal, Man City hakuna kulala ubingwa EPL

LONDON, Uingereza BAADA ya Manchester City kuinyuka Manchester City mabao 3-0, sasa presha imerudi kwa Arsenal iliyoko kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England...

Kwa England hii, Tuchel ‘ataua’ mtu Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu ziko njiani. Zitaanza Juni 11 na kufanyika kwa mwezi mmoja hadi Julai 19, 2026, huku...

Makubwa ya kufahamu kuelekea Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza NI takribani mwezi mmoja umebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu. Michuano hiyo itaanza Juni 11, 2026,...

Arsenal sasa washindwe wao tu ubingwa EPL

LONDON, Uingereza KABLA ya kuivaa West Ham katika mchezo uliopita, Arsenal ilitabiriwa ubingwa wa Ligi Kuu na aliyekuwa beki kisiki wa Liverpool, Jamie Carragher. "Endapo Arsenal...

Prisons ilivyoipa Simba bonge la rekodi

Na Hassan Mwasha, Gazetini KATIKA mchezo wa jana Mei 10, 2026, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons na kuweka rekodi...

Ubingwa La Liga … Jeuri ya Barca iko hapa

CATALUNYA, Hispania USHINDI wa mabao 2-0 mbele ya Real Madrid jana Mei 10, 2026 umeipa Barcelona ubingwa wa msimu huu wa Ligi Kuu ya Hispania...

Barcelona wafalme wa La Liga

BARCELONA, Hispania FC Barcelona wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa La Liga baada ya kuichapa Real Madrid mabao 2-0 katika mchezo mkubwa wa El Clásico uliochezwa kwenye...

Rekodi 3 walizoweka Arsenal wakitinga fainali UEFA

CATALUNYA, Hispania HATIMAYE Arsenal imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Ni baada ya ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Atletico Madrid, mchezo uliochezwa...

Slot hafukuzwi leo wala kesho

MERSEYSIDE, Uingereza LICHA ya mashabiki wa Liverpool kutokuridhishwa na mambo yanavyokwenda msimu huu, uongozi wa timu hiyo hauna mpango wa kumfuta kazi kocha Arne Slot. Ukiwa...

Xavi, Chelsea kumbe tetesi tu

CATALUNYA, Hispania LICHA ya tetesi zilizopo, Chelsea hawana mpango wa kumpa ajira kocha wa zamani wa Barcelona raia wa Hispania, Xavi Hernandez. Awali, zilikuwepo taarifa zilizodai...

United yagoma kumwachia Hojlund

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Napoli imethibitisha kukwama katika mpango wake wa kumsajili kiungo wao wa mkopo kutoka Manchester United, Rasmus Hojlund. Hojlund mwenye umri wa miaka...

Makonda aomba sh.525.32 bilioni, maandalizi AFCON yafikia pazuri

 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameomba sh. 525.32 bilioni kwa bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha...

Recent articles