Ads: info@gazetini.co.tz |
22.5 C
Dar es Salaam

Michezo

Sababu 3 za Chelsea kumtimua Rosenior

LONDON, Uingereza BAADA ya mfululizo wa matokeo mabaya na kiwango kisichoridhisha cha timu yao, mabosi wa Chelsea walimfuta kazi kocha Liam Rosenior hivi karibuni. Alifukuzwa baada...

Harry Winks na mshahara mkubwa kuliko mastaa EPL

LONDON, Uingereza LEICESTER City imeshuka kutoka Championship (Daraja la Kwanza England) hadi League One (Daraja la Pili).  Hali ni tete kwao. Hata hivyo, licha ya mwenendo...

Makocha wanaosikilizia kibarua Chelsea

LONDON, Uingereza CHELSEA haina kocha mkuu baada ya kumfungashia virago Liam Rosenior, ambaye aliajiriwa Januari, 2026 kuchukua nafasi ya Enzo Maresca. Rosenior amefutwa kazi akiwa ameiongoza...

Amorim kurudi EPL kuinoa Palace

LONDON, Uingereza HUENDA kocha wa zamani wa Manchester United, Ruben Amorim, akawa na timu nyingine msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL). Mreno huyo alifungashiwa...

Kaizer Chiefs waivamia Simba dili la Nwabali

Na mwandishi wetu, Gazetini MPANGO wa Simba kumsajili kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles', Stanley Nwabali, umeifikia Kaizer Chiefs na sasa klabu...

Evra: Siioni Arsenal ikibeba ‘ndoo’ EPL

LONDON, Uingereza BEKI wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya Ufaransa, Patrice Evra, amesema Arsenal haina nafasi ya ubingwa msimu huu wa...

Chelsea, United zamng’ang’ania Adeyemi

LONDON, Uingereza VIGOGO wa Ligi Kuu ya England, Chelsea na Manchester United, wamejikuta kwenye njia moja wakiiwania saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Karim Adeyemi. Gazeti...

Merino aongeza ‘mzuka’ Arsenal

LONDON, Uingereza KATIKA kipindi hiki ambacho Arsenal inapaswa kushinda mechi tano zilizobaki msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL), nyota wake muhimu aliyekuwa majeruhi...

Mainoo anukia mkataba mpya United

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United itatangaza kumpa mkataba mpya nyota wake, Kobbie Mainoo, kabla ya msimu huu kumalizika. Mainoo (21), alianza katika mchezo uliopita dhidi...

Slot bado yupo sana Liverpool

MERSEYSIDE, Uingereza LIVERPOOL haina mpango wa kumfuta kazi kocha wake raia wa Uholanzi, Arne Slot, na badala yake atainoa timu hiyo msimu ujao. Baada ya kuanza...

Ndoto za ubingwa: Arsenal tabu iko pale pale?

LONDON, Uingereza KICHAPO cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester City kimeibua hofu kubwa kwa mashabiki wa Arsenal na sasa wanaiona hatari ya timu yao kuambulia...

Wadau wahimiza  ujenzi wa miundombinu ya mchezo wa kuogelea kuendeleza vipaji

Na Winfrida Mtoi WADAU  wa mchezo wa kuogelea nchini, wamefurahishwa na viwango vilivyooneshwa na watoto katika mashindano ya Afrika Mashariki, huku wakiomba  serikali  kuharakisha ujenzi...

Recent articles