CAIRO, Misri
TUZO za mwaka huu za Shirikisho la Soka barani Afrika zitatolewa Desemba 7, 2026 katika hafla itakayofanyika jijini Lagos, Nigeria.
Kama itakumbukwa, hii...
CATALUNYA, Hispania
KLABU ya Barcelona inamuona staa wa Club Brugge ya Ubelgiji, Nicolo Tresoldi, kama mshambuliaji sahihi wa kusajiliwa ifikapo Januari, 2027.
Barcelona walijaribu kumsajili straika...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester United haijaachana na mpango wake wa kumsajili mpachikaji mabao tishio wa Crystal Palace, Jean-Philippe Mateta.
Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa Man...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal iko kwenye mawindo ya kiungo wa pembeni wa Granada ya Hispania, Owen Emeka.
Wakati huo huo, Newcastle United na Everton ni...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Craig Burley, amemtaka Cristiano Ronaldo kukubaliana na ukweli, kwamba kwa sasa si mchezaji muhimu kwenye kikosi cha timu...
LONDON, Uingereza
BEKI wa timu ya Taifa ya Argentina, Cristian Romero, amefichua kuwa Lionel Messi ndiye aliyempendekeza kupewa kitambaa cha unahodha wa kikosi hicho.
Romero ameyasema...
MILAN, Italia
NYOTA wa AC Milan, Zachary Athekame, ameweka wazi kuwa ameachana na wazo lake la kuitumikia timu ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles'.
Shirikisho la...
MADRID, Hispania
BEKI wa Real Madrid, Marc Cucurella, amesimama na Jose Mourinho akisema bado ni mapema mno kuanza kumkosoa kocha huyo wa kimataifa wa Ureno.
Kwa...
MANCHESTER, Uingereza
KOCHA wa zamani wa Manchester City, Pep Guardiola, huenda akarejea klabuni hapo hivi karibuni.
Kwa mujibu wa gazeti la Mirror, Guardiola raia wa Hispania...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MASHABIKI wa soka nchini bado hawajavutiwa na mwenendo wa timu yao ya Taifa ‘Taifa Stars’ tangu ilipoanza kunolewa na kocha wa...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester City iko kwenye presha kubwa kutokana na mashitaka inayokabiliwa nayo. Mashitaka ya kukiuka nidhamu ya matumizi ya fedha. Huenda ikakatwa...