Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Mainoo kuondoka United, anukia Napoli

MANCHESTER, UingerezaNAPOLI imeendelea kumfuatilia kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo, ikipanga kumsajili kwa mkopo ifikapo Januari, mwakani.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, nyota huyo...

Ronaldo asema atastaafu mwakani

LISBON, UrenoMPACHIKAJI mabao wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameweka wazi kuwa fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwakani zitakuwa za mwisho kwake...

FIFA yampa majukumu Baraka Kuzuguto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemteua Mtanzania, Baraka Kizuguto kuwa Mratibu Mkuu wa michezo ya nusu fainali ya hatua za awali...

Nyota JKT Queens aipigia hesabu Asec Mimosa

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Mshambuliaji wa JKT Queens FC, Jamila Rajabu, amesema  amejipanga  kutengeneza  nafasi na kufunga mabao katika mchezo wa pili wa hatua ya...

Fountain Gate yatoa kocha bora

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Kocha wa timu ya Fountain Gate,  Mohamed Laizer amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu Bara msimu wa...

Yanga yaizima KMC, yaing’oa Simba kileleni

Na Hassan Mwasha, GazeiniHATIMAYE ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya KMC umeirejesha Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Matokeo hayo yamaeifanya...

Sesko airudisha sokoni Man United

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema atalazimika kutafuta straika mpya endapo Benjamin Sesko ataendelea na kusumbuliwa na majeraha ya goti.Sesko alitokea benchi...

Tottenham yamfungia kazi Ndiaye

LONDON, UingerezaKLABU ya Tottenham imeachana na mpango wa kumsajili Morgan Rogers wa Aston Villa, na sasa inamtaka winga wa Everton, Iliman Ndiaye.Kwa mujibu wa...

Barua ya wazi kwa ‘Goli la Mama’

Na mwandishi wetu, Gazetini KWAKO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan. Nianze kwa kupongeza juhudi za Serikali yako katika kupigania...

Yanga, Simba na vita ya Bil. 9/- za Caf

Na Mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuingia hatua ya makundi, sasa klabu za Simba na Yanga zimesogelea utajiri wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga,...

Ajax yapanga kumtimua kocha

AMSTERDAM, UholanziMABOSI wa klabu ya Ajax wako mbioni kumfuta kazi kocha John Heitinga, licha ya kwmaba ni miezi sita tu tangu ilipompa ajira ya...

Kufanya vizuri AFCON, kupanga ni kuchagua!

Na Hassan Mwasha, GazetiniKWA miaka sita ya hivi karibuni, timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imefuzu mara tatu fainali za Mataifa...

Recent articles