Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Bado makocha wazawa hawana nafasi Simba, Yanga?

Na Hassan Mwasha, GazetiniHIVI karibuni, klabu kongwe zaidi za soka nchini, Simba na Yanga, zilitangaza makocha wapya. Simba ilimuajiri, Dimitar Pantev, wakati Yanga walimpa...

Pioli afungashiwa virago Serie A

MILAN, ItaliaMABOSI wa Fiorentina wametangaza kumfuta kazi kocha wao, Stefano Pioli, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo msimu huu wa Ligi Kuu ya...

Arsenal wavunja rekodi ya mwaka 1903

LONDON, UingerezaBAADA ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Slavia Prague usiku wa jana, sasa Arsenal imeandika historia ya kucheza mechi nane mfulululizo bila...

Makinda watakaowasha moto AFCON 2025

Na mwandishi wetu, GazetiniKWA miaka mingi, fainali za Mataifa Afrika (AFCON) zimekuwa zikiibua vipaji vipya vya soka, kama ilivyowahi kutokea kwa Samuel Eto'o, Yaya...

Mambo 5 kuhusu fainali za AFCON 2025

Na mwandishi wetu, GazetiniNI msimu wa 35 wa fainali za Mataifa Afrika (AFCON) na michuano hiyo itafanyika Kaskazini mwa Afrika katika Taifa la Morocco.Msimu...

Vinicius abisha hodi Ligi Kuu England

MADRID, HispaniaKITENDO cha Vinicius Junior kubwatukiana na kocha wake, Xabi Alonso, kimeibua taarifa kuwa nyota huyo ataondoka Real Madrid.Vinicius mwenye umri wa miaka 25,...

Rodgers ajiuzulu Celtic, O’Neill apewa mikoba

EDINBURGH, ScotlandALIYEWAHI kuwa kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers, amejiuzulu kuinoa Celtic ya Ligi Kuu ya Scotland.Taarifa za Rodgers kuondoka zilikuja saa chache baada ya...

Arsenal haishikiki EPL, ‘ukuta’ waipa jeuri

LONDON, UingerezaBAADA ya mechi za wikiendi iliyopita, sasa Arsenal wako kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) wakiwa wameizidi pointi nne timu...

Miamba 16 iliyoingia makundi Shirikisho Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniJUMLA ya timu 16 zimeshaingia hatua ya makundi ya msimu huu wa 2025-26 wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Kinachosubiriwa kwa...

Pedro Goncalves; Rekodi za Angola kuibeba Yanga?

Na mwandishi wetu, GazetiniKLABU ya Yanga imemtangaza Pedro Goncalves kuwa kocha wake mpya na Mreno huyo anachukua mikoba ya Romain Folz aliyetimuliwa siku chache...

Kaze afurahia Kaizer kutinga makundi CAF

JOHANNESBURG, Afrika KusiniKOCHA wa Kaizer Chiefs, Cedric Kaze, amefurahi na kuwapongeza wachezaji wake baada ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.Wakiwa...

Misri, Nigeria kuvaana Desemba 14

CAIRO, MisriTIMU ya soka ya taifa ya Misri itaikabili Nigeria katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na fainali za mwaka huu za Mataifa ya...

Recent articles