Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako.
Mathalan, kwenda polisi kwa suala...
DAKAR, Senegal
WAKATI timu ya taifa ya Senegal inatwaa ubingwa wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kuifunga Misri mwaka 2021, Sadio Mane ndiye...
RABAT, Morocco
LICHA ya kuondoshwa katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Morocco, timu ya taifa ya Misri 'Mafarao' imeacha historia ya aina yake.
Misri...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KELELE za kukera, kama si za kuchefu kabisa, zinakita kwenye ngoma za masikio yangu. Kelele zinazojirudia, zinazochefua na kunipa picha ya...
RABAT, Morocco
UKIACHA vita ya Nigeria na Morocco, nusu fainali nyingine kali msimu huu wa fainali za AFCON ni ile itakayozikutanisha Senegal dhidi ya Misri.
Ratiba...
LONDON, Uingereza
BAADA ya kuvunja mkataba wake, Chelsea wamelazimika kumlipa Enzo Maresca kitita cha Pauni milioni 10, kwa mujibu wa Gazeti la Sun.
Kocha huyo raia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NDOA za utotoni, zinazofafanuliwa kama ndoa inayohusisha mmoja au wote wawili walio chini ya umri wa miaka 18, bado ni tatizo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
RAIS Donald Trump ameweka wazi kuwa Marekani inakihitaji kwa namna yoyote ile kukiweka chini ya himaya yake Kisiwa cha Greenland.
Kauli hiyo...
LONDON, Uingereza
UONGOZI wa Chelsea umemtangaza kocha mpya atakayechukua nafasi ya Enzo Maresca. Anaitwa Liam Rosenior.
Je, ni yapi usiyoyajua kuhusu kocha huyo mwenye umri wa...
MANCHESTER, Uingereza
HATIMAYE Manchester United wamemfuta kazi Ruben Amorim. Mreno huyo ameondoka akiwa amehudumu kwenye benchi la ufundi kwa miezi 14 pekee tangu alipoajiriwa akitokea...