Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Makala

Yanga nyumbani, Simba wao ugenini

Na mwandishi wetu, Gazetini KILA mtu ashinde zake! Katika mechi nne walizocheza wakiwa nyumbani msimu huu wa Ligi Kuu Bara, mabingwa watetezi, Yanga, wameshinda zote,...

Timu hizi ‘ukuta’ mbovu Ligi Kuu Bara 2026-27

Na Hassan Mwasha, Gazetini KAZI ipo! Kagera Sugar ndiyo timu iliyoruhusu mabao mengi hadi sasa, ikiwa imecheza mechi sita msimu huu wa Ligi Kuu Bara...

Manqoba ‘atapindua meza’ kubaki Yanga?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA upande wa matokeo, ni ngumu kukubaliana na wanaomkosoa. Ameshinda mechi zote sita kwenye Ligi Kuu msimu huu wa 2026-27. Hajafungwa...

Charles Taylor; Alitoroka gerezani kulipiza kisasi kwa Rais ‘aliyemtumbua’

Na mwandishi wetu, Gazetini HISTORIA ya siasa za Afrika itaendelea kumkumbuka kama kielelezo cha viongozi wachache waliowahi kutumia vibaya nafasi zao. Alikuwa rais wa Liberia kuanzia...

Alejandro Betancourt; ‘Dalali’ wa Marekani mkataba wa mafuta Venezuela

CARACAS, Venezuela KWA sasa, Alejandro Betancourt anatarajiwa kama mtu muhimu katika mkataba wa mafuta ulioingiwa kati ya nchi yake ya Venezuela na Marekani, kwa mujibu...

Geita kufuta ‘uteja’ kwa Yanga?

Na Hassan Mwasha, Gazetini GEITA Gold ina kibarua kigumu mbele ya Yanga katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2026-27, na...

Tunisia ‘jehanamu’ ya wakosoaji wa serikali?

TUNIS, Tunisia "WALE wanaozikosoa mamlaka au mambo yanavyokwenda nchini Tunisia wanakumbana na ukandamizaji." Ni kauli ya Messaoud Romdhani, mwanaharakati wa haki za binadamu katika nchi...

Utafiti: Vijana Nigeria hawana imani na Uchaguzi

LAGOS, Nigeria UTAFITI uliohusisha wanafunzi 222 kutoka vyuo vikuu 34 nchini Nigeria umebaini kuwa asilimia 52.1 hawajajiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ujao . Aidha, katika...

Makamu wa Rais anasota gerezani

PAYNESVILLE, Liberia HIVI karibuni, Mahakama nchini Liberia ilimpa ruhusa ya kutoka gerezani Makamu wa Rais wa zamani, Jewel Howard-Taylor, ili kwenda kupata matibabu ya nje,...

Simba kuzima moto, rekodi ya Mighty Wanderers?

Na mwandishi wetu, Gazetini SIMBA iko ugenini mjini Blantyre, Malawi, ambako kesho Septemba 6, 2026, itaumana na Mighty Wanderers katika mchezo wa hatua ya awali...

Sura 8 tofauti vita ya Yanga, Wabotswana

Na mwandishi wetu, Gazetini YANGA watashuka dimbani katika ardhi ya ugenini mjini Gaborone, Botswana, kesho Septemba 5, 2026, kwa mchezo wa hatua ya awali ya...

Bill Clinton na nyumba zake za bei mbaya Marekani

LOS ANGELES, Marekani TANGU Bill Clinton alipomaliza majukumu yake ya urais wa Marekani mwaka 2001, amekuwa akiishi Chappaqua, New York, makazi yaliyozungukwa na miti, na...

Recent articles