Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Makala

Maajabu ya chumvi na historia yake ya miaka 5,000

Na mwandishi wetu, Gazetini UMEWAHI kujiuliza maisha yangekuwa magumu kiasi gani bila uwepo wa chumvi kwenye mboga? Sasa, kwa taarifa yako, binadamu alianza kutumia kiungo...

Watu wenye wafuasi wengi zaidi ‘X’

Na mwandishi wetu, Gazetini BILIONEA Elon Musk, ambaye ndiye mmiliki wa X , ndiye mtu mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa kijamii. Wafuasi...

Madairekta wa muvi kiboko kwa mkwanja duniani

LOS ANGELES, Marekani KATIKA orodha ya mastaa wenye mkwanja mrefu duniani kwa sasa, nafasi ya kwanza na ya pili zinashikwa na waongozaji wa filamu nchini...

El Niño yabadilisha ratiba ya mitihani ya Taifa 2026

Na Esther Mnyika, GAZETINI WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mabadiliko ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026,...

‘Niqab’ zapigwa marufuku shuleni

MILAN, Italia SERIKALI ya Italia imepitisha sheria inayopiga marufuku wanafuzi wa kike kuvaa niqab wawapo shuleni. Hata hivyo, sheria hiyo imeweka wazi kuwa katazo hilo...

Godbless Lema na kivuli cha ‘usaliti’ CHADEMA

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA nyakati na nyakati, jina la Gobless Lema limekuwa likiingia na kutoka katika shutuma za usaliti ndani ya Chama cha Demokrasia...

Rick Ross aliiba jina la muuzaji ‘unga’, aliacha soka kisa Hip Hop

LOS ANGELES, Marekani KAMA utataja wasanii wa Hip hop wakubwa nchini Marekani na duniani kwa ujumla, basi hutoacha kulitaja jina la William Leonard Roberts II,...

Mashabiki United walipomshangilia straika aliyewatungua ‘hat trick’

MANCHESTER, Uingereza STRAIKA mwenyewe ni huyu; Ronaldo Nazario, ambaye ametimiza umri wa miaka 50. Mshambuliaji mwenye historia ya kubeba tuzo mbili za Ballons d'Or na...

TRA United wao hata sare ‘freshi’ tu

Na Hassan Mwasha, Gazetini SIKIA hii! Usichokijua ni kwamba TRA United ya mkoani Tabora ndiyo timu inayoongoza kwa idadi kubwa ya sare kufikia hatua hii...

Hizi hazijaonja ushindi msimu huu Ligi Kuu Bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini MAMBO magumu! Kagera Sugar na Pamba Jiji ndizo timu mbili pekee ambazo hadi kufikia hatua hii hazibahatika kupata ushindi, licha ya...

Pamba Jiji, Namungo kiboko kwa kugawa pointi

Na Hassan Mwasha, Gazetini HOI kabisa! Kufikia hatua hii ya msimu wa 2026-27 wa Ligi Kuu Bara, Pamba Jiji na Namungo ndizo zinazoongoza kwa kufungwa...

Mabao 127 yamefungwa Ligi Kuu Bara 2026-27

Na Hassan Mwasha, Gazetini MWENDO wa mabao tu! Kwa sasa ni mapumziko ya kupisha kalenda ya FIFA na kufikia hatua hii tayari mechi 98...

Recent articles