Ads: info@gazetini.co.tz |
27.2 C
Dar es Salaam

Makala

Marekani ilivyoiweka ‘ICU’ sekta ya afya Cuba

HAVANA, Cuba KWA miaka mingi, Cuba imekuwa ikisifika kwa ubora wa sekta yake ya afya, huku raia wake wakifurahia huduma ya matibabu bila malipo kwa...

Lula kushinda tena kiti cha urais Brazil?

RIO, Brazil RAIS wa Brazil, Luiz Inacio Lula da Silva, ameanza rasmi kampeni zake za kuwania muhula wa nne kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba,...

Haya ndiyo maajabu ya nchi iliyobadili jina

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka mingi, iliitwa Nauru, kabla ya kubadili jina hivi karibuni na kujiita Jamhuri ya Naoero. Inafahamika kuwa ni nchi ya...

Wajawazito DRC na changamoto ya Ebola

BUNIA, DRC MLIPUKO wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeathiri kwa kiasi kikubwa utaratibu wa wajawazito kwenda kliniki, kama anavyoeleza...

Vijana wa Liberia na urahibu wa bangi

MONROVIA, Liberia KATIKA mitaa ya Mji Mkuu, Monrovia, utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi si jambo linalohitaji utafiti mkubwa kulibaini, na badala yake...

PBPA yatoa elimu kuhusu mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKALA wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unasimamia Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja, ambao umeisaidia Serikali kuhakikisha bidhaa za mafuta...

Mpasuko ndani ya uongozi wa Iran?

TEHRAN, Iran LENGO ni moja tu, kuhakikisha dunia inatambua na kuheshimu nguvu ya Iran, hasa dhidi ya Marekani na washirika wake, ikiwamo Israel. Katika hili,...

Gaza katikati ya matumani, giza la hofu

JERUSALEM, Palestina KAULI ya Rais Donald Trump kwamba kundi la Hamas limekubali kuweka silaha chini limeibua matumaini kwa wananchi wa Palestina kuanza kuishi maisha ya...

Kwanini Venezuela imejitoa ICC?

CARACAS, Venezuela SIKU chache zilizopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Felix Plasencia, alitangaza uamuzi wa nchi hiyo kuondosha uanachama wake katika Mahakama ya...

Hiki ndicho chanzo cha guvu ya waasi Nigeria?

LAGOS, Nigeria KWA miaka mingi sasa, Nigeria imegubikwa na matukio ya uhalifu katika maeneo yake mengi. Watu takribani 3,000 wametekwa kwa kipindi cha mwaka mmoja...

Simulizi ya mateso ya utawala wa kijeshi kutoka Myanmar

NAYPYIDAWA, Myanmar KWA wananchi wa Myanmar, siasa zinawapitisha katika ukurasa mpya uliojaa machungu ya kukimbia nyumba na familia zao ili kujinusuru na utawala wa kijeshi...

Infantino kung’oka FIFA, nani kuchukua nafasi yake?

NYON, Uswis MAMBO hayuko vizuri kwa Rais Gianni Infantino. Ameachana na mpango wake wa kuuza hisa za michuano ya FIFA, ikiwamo Kombe la Dunia, baada...

Recent articles