LONDON, Uingereza
KAMA kawaida, mechi za Ligi Kuu ya England (EPL) zitashuhudia mapumziko ya dakika kadhaa kuruhusu wachezaji watakaokuwa kwenye ibada ya Mwezi Mtukufu wa...
MILAN, Italia
MWANAUME raia wa Slovakia ameangukia mikononi mwa polisi mjini Milan, Italia, baada ya miaka 16 ya kujificha akikwepa kukamatwa.
Mtu huyo anayetajwa kuwa na...
MOSCOW, Urusi
SERIKALI ya Urusi imeagiza kufutwa kwa matumizi ya WhatsApp nchini humo, huku ikiwa na mbadala wa mtandao huo wa kijamii.
Mamkala zimetoa agizo hilo...
TORONTO, Canada
POLISI nchini Canada wamebaini kuwa mshukiwa wa mauaji ya watu nane, ambaye ni mwanamke, ana changamoto ya afya ya akili.
Mwanamke huyo mwenye umri...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HIVI unafahamu kuwa betri zinazotumika katika simu au kompyuta-mpakato (laptop), ambazo kwa lugha ya Kiingereza hufahamika kwa jina la 'rechargeable batteries',...
LOS ANGELES, Marekani
STORI inayobamba kwa sasa kwenye tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mrembo Kim Kardashian kuanika penzi lake jipya na staa...
LAGOS, Nigeria
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ametuma ujumbe wake wa kutaka kuimarishwa kwa hali ya amani nchini Nigeria.
Papa Leo ameyasema hayo...
HARARE, Zimbabwe
WANANCHI wa Zimbabwe wamepokea kwa mwitiko mkubwa Bima ya Mazishi, ikiwa ni baada ya kushindwa kumudu gharama za Bima ya Afya.
Ifahamike kuwa Bima...
NEW YORK, Marekani
RIPOTI mpya ya Umoja wa Mataifa (UN) inaonesha kuwa wasichana takribani milioni 4.5 duniani kote wako kwenye hatari ya kufanyiwa ukeketaji kwa...
NAIROBI, Kenya
NI mlinzi wa Kakamega Homeboyz ya Ligi Kuu nchini Kenya, Silas Abungana, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 25.
Abungana (25), ameiaga dunia...
LONDON, Uingereza
JINA la April Francis limetikisa vichwa vya habari za michezo nchini Uingereza baada ya mpenzi huyo wa beki wa West Ham United, Aaron...