LONDON, Uingereza
WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wanampigia hesabu kiungo wa kimataifa wa Serbia, Vasilije Kostov, ambaye uchezaji wake unafananishwa na ule wa staa wa...
CASABLANCA, Morocco
TIMU ya taifa ya Nigeria 'Super 'Eagles' imeshika nafasi ya tatu msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) baada ya...
MIAMI, Marekani
SUPASTAA wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, hana mpango wa kuondoka katika klabu ya Inter Miami ya Ligi Kuu nchini Marekani...
MANCHESTER, Uingereza
KATIKA mchezo wa Ligi Kuu ya England uliochezwa Old Trafford leo Januari 17, 2026, Manchester United chini ya kocha mpya, Michael Carrick, imeifunga...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MTU wa kazi! Ndivyo unavyoweza kumwita mchezaji mpya wa Simba, Libasse Gueye, ambaye klabu hiyo imemtambulisha leo Januari 17, 2026. Nyota...
By Our Correspondent
The International Women’s Peace Group (IWPG), Global Region 2, led by Global Director Seo Yeon Lee, has signed a Memorandum of Understanding...
MANCHESTER, Uingereza
NI wikiendi hii, Januari 17, 2026, ambapo Michael Carrick atapata mtihani wake wa kwanza mgumu atakapoiongoza Manchester United kuikabili Manchester City.
Timu hizo zitakwaana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KLABU ya Simba imeliimarisha benchi lake la ufundi kwa kumuajiri aliyekuwa kocha wa U-19 ya Mamelodi Sundowns, Kristopher Bergman.
Bergman mwenye umri...
KAMPALA, Uganda
YOWERI Museveni anayewania muhula wake wa saba madaakani anaongoza katika majibu ya awali ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika jana.
Kwa mujibu wa matokeo...
RABAT, Morocco
LICHA ya kuondoshwa katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Morocco, timu ya taifa ya Misri 'Mafarao' imeacha historia ya aina yake.
Misri...
RABAT, Morocco
USHINDI wa bao 1-0 waliopata Senegal dhidi ya Misri imeendeleza mkosi kwa Mohamed Salah katika ndoto yake ya kutwaa ubingwa wa fainali za...