Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Julian Ryerson: Beki, mkali wa ‘asisti’ anayewatoa udenda Man United

MANCHESTER, Uingereza RADA za maskauti wa Manchester United zimemnasa beki wa pembeni wa Borussia Dortmund, Julian Ryerson. Anatakiwa Old Trafford kwa ajili ya msimu ujao. Ryerson...

Arsenal kumbakiza beki wa mkopo

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal imeanza harakati za kumsajili moja kwa moja beki wake wa mkopo, Piero Hincapie. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24, amekuwa...

Klopp ataibukia wapi msimu ujao?

LONDON, Uingereza AMEKIRI mara kadhaa kuwa ipo siku atarejea kwenye kazi ya ukocha. Kwa sasa, Jurgen Klopp ni Mkuu wa Maendeleo ya Soka wa Kampuni...

Mabosi wa Liverpool kumpa mikoba Alonso

MERSEYSIDE, Uingereza KUNA uwezekano mkubwa huu ukawa msimu wa mwisho kwa kocha raia wa Uholanzi, Arne Slot, kuliongoza benchi la ufundi la Liverpool. Wamiliki wa klabu...

Lebo zilivyogeuka ‘jeneza’ la Bongo Fleva

Na mwandishi wetu, Gazetini MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao. Mfano wa hivi karibuni ni...

Jay Z; Kutoka ‘uswazi’, kukimbizana na polisi hadi bilionea wa Hip hop

Na mwandishi wetu, Gazetini NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia...

Uingereza yatoa msimamo wake vita ya Iran

LONDON, Uingereza WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Sir Keir Starmer, amesema serikali yake itashirikiana kwa karibu na sekta zilizoathirika pamoja na washirika wa kimataifa ili kukabiliana...

Serikali yaviagiza viwanda Pwani kuboresha mazingira ya kazi

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imeziagiza menejimenti za viwanda mkoani Pwani kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya wafanyakazi ili kuongeza uzalishaji wenye tija na...

CAF yaisogeza mbele WAFCON

CAIRO, Misri SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetangaza kuzisogeza mbele fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake (WAFCON). Awali, michuano hiyo ilitarajiwa kuanza Marchi 17, 2026, lakini...

Becker wa Liverpool awindwa Serie A

MILAN, Italia KLABU mbili za Ligi Kuu ya Italia (Serie A), Inter Milan na Juventus, zinapigana vikumbo kuiwania saini ya kipa wa Liverpool, Alisson Becker. Becker...

Rodrygo afunguka magumu anayopitia

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Rodrygo Goes, amepata majeraha ya goti yatakayomweka nje ya dimba kwa miezi isiyopungua 10. Rodrygo alipata majeraha hayo katika mechi dhidi...

Sakata la Bruno, Man United limekaaje?

MANCHESTER, Uingereza KIUNGO wa Manchester United raia wa Ureno, Bruno Fernandes, hajaeleweka juu ya hatima yake klabuni hapo. Ataondoka au atabaki? Haijajulikana. Bruno amekuwa mchezaji muhimu...

Recent articles

spot_img