Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-2

Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale KIFUNGU cha 196 kinaweka msingi wa kosa la murder. Lakini kifungu cha 203 ndicho kinachoeleza kwa kina uwiano wa sababu...

Vita dhidi ya Iran kuangusha utalii Mashariki ya Kati?

TEHRAN, Iran VITA vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel zilizoungana kuishambulia Iran vinatajwa kuathiri sekta ya utalii Mashariki mwa Kati. Kwa mujibu wa Shirika la Utalii...

Jesse Lingard na maisha yake mapya huko Brazil

RIO, Brazil MSHAMBULIAJI huyo wa zamani wa Manchester United na West Ham za England, Jesse Lingard, ametua Ligi Kuu ya Brazil baada ya kusajiliwa na...

Hizi ndizo ‘drone’ za bei rahisi inazotumia Iran kuzibomoa Marekani, Iran

TEHRAN, Iran WAKATI Marekani ilipoanza kuishambulia Iran wiki chache zilizopita, Donald Trump alijitamba kuwa wataangamiza viwanda vyote vya silaha nchini humo. Hata hivyo, Rais Trump alisahau...

Man City yamsogelea ‘mido’ Bayern

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeanza mazungumzo ya kumsajili kiungo wa Bayern Munich, Aleksandar Pavlovic. Nyota huyo ana umri wa miaka 21 na ameshacheza mechi...

Maisha, mikasa ya Bob Marley (2)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA chapisho lililopita, ambalo ni sehemu ya kwanza ya Simulizi ya maisha ya gwiji wa muziki wa Reggae, Bob Marley, tuliona...

Evra awavaa Scholes, Neville kisa Carrick

MANCHESTER, Uingereza BEKI wa zamani wa Manchester, Patrice Evra, amewatolea uvivu wakongwe wenzake wa timu hiyo, Paul Scholes, Gary Neville na Roy Keane, akiwaambia waache...

Ronaldo nje Kombe la Dunia?

RIYADH, Saudi Arabia MSHAMBULIAJI wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, atakuwa nje ya dimba kwa muda na hiyo imezua hofu kuwa huenda akazikosa fainali zijazo za Kombe...

Visual| Marais ving’ang’anizi wa madaraka duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini FEBRUARI 28, 2026 imeingia kwenye kumbukumbu baada ya kuwa ndiyo siku aliyouawa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika ...

Iraq: Wanaosafiri nje ya nchi wanaongeza maambukizi Ukimwi

BAGHDAD, Iraq WIZARA ya Afya ya Iraq imeripoti ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, huku ikitupa lawama kwa raia wa nchi hiyo wanaosafiri kwenda...

Kwa nini Urusi haiingilii kati kuisaidia Iran dhidi ya Marekani, Israel?

TEHRAN, Iran SAA chache baada ya Iran kuanza kushambuliwa makombora ya Marekani na Israel, Serikali ya Urusi ilitoa tamko zito. Mwakilishi wa Urusi ndani ya Umoja...

Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-1

Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale MAUAJI yanafafanuliwa kisheria, si kwa maoni ya jamii, na kifungu husika ni cha 196. 'Murder' hutokea pale mtu anaposababisha kifo...

Recent articles

spot_img