Ads: info@gazetini.co.tz |
32.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

EPL yavunja rekodi usajili Ulaya

LONDON, UingerezaKLABU za Ligi Kuu ya England (EPL) zimeshatumia Pauni bilioni 2.37 katika soko la usajili wa majira haya ya kiangazi, kiasi kikubwa zaidi...

Mahakama yaagiza Rais Colombia aachiwe

BOGOTA, ColombiaMAHAKAMA Kuu nchini Colombia imeagiza Rais wa zamani wa nchi hiyo, Alvaro Uribe, kuachiwa baada ya awali kuhukumiwa kifungo cha ndani cha miaka...

‘Putin hataki amani Ukraine’

KYIV, UkraineKATIBU Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (NATO), Anders Fogh Rasmussen, haoni kama Urusi ina nia ya kurejesha...

Mastaa hawa hawauziki soko la usajili Ulaya

LONDON, UingerezaNI takribani wiki mbili tu zimebaki kabla ya kufungwa kwa dirisha kubwa la usajili la majira haya ya kiangazi.Hata hivyo, kwa baadhi ya...

Salah aweka rekodi akibeba tuzo ya tatu PFA

LONDON, UingerezaMSHAMBULIAJI wa Liverpool raia wa Misri, Mohamed Salah, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chama cha Wanasoka wa Kulipwa (PFA).Salah (33),...

Ajali ya gari yaua wahamiaji Afghanistan

KABUL, Afghanistan WAHAMIAJI 37, wakiwamo watoto 17, waliokuwa wakirejeshwa kutoka Iran wamefariki baada ya gari lao kupata ajali Magharibi mwa Afghanistan.Ofisi Habari wa Taliban, Ahmadullah...

Thailand mbioni mapinduzi ya kijeshi?

BANGKOK, ThailandMACHAFUKO yanayoendelea katika mpaka wake na Cambodia yameanza kulipa nafasi kubwa jeshi la Thailand kuipindua Serikali iliyoko madarakani katika Taifa hilo la barani...

Bundesliga nyuma ya EPL, La Liga

MUNICH, UjerumaniUSAJILI wa majira haya ya kiangazi umeshuhudia baadhi ya wachezaji wenye majina makubwa wakiipa kisogo Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga).Florian Wirtz aliondoka Bayern...

Nini chanzo ajali za ndege Afrika?

Na mwandishi wetu, GazetiniMIEZI ya hivi karibuni imeshuhudia ajali za ndege zikitisa na kuacha majonzi barani Afrika, ikitosha kutolewa mfano katika mataifa ya Ghana...

Visual| Tanzania na vita ya kuokoa mnyama huyu mashuhuri

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika maadhimisho ya Siku ya Simba Duniani, taarifa mpya zinaonyesha hali ya kutisha kwani Simba, miongoni mwa wanyama mashuhuri barani Afrika,...

Nguvu ya wanawake Uchaguzi Mkuu Malawi

LILONGWE, MalawiKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Malawi, wagombea wengi wa kiti cha urais wamewateua wanawake katika nafasi ya mgombea mweza...

Nini kifanyike kuiokoa Sudan?

DARFUR, SudanWATU takribani 300,000 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula ukiwa ni mwaka mmoja tu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea nchini Sudan. Hali...

Recent articles

spot_img