NAPOLI, ItaliaKIUNGO wa kimataifa wa Ubelgiji, Kevin de Bruyne, alifunga bao la pili, baada ya Scott McTominay kuitanguliza Napoli, mchezo wa Serie A uliomalizika...
MUNICH, UjerumaniKOCHA wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, amepoteza mechi yake ya kwanza ya Bundesliga akiwa kocha wa Bayer Leverkusen.Leverkusen walianza vizuri...
LONDON, UingerezaSTRAIKA mpya wa Arsenal, Viktor Gyokeres, amefunga mabao mawili dhidi ya Leeds United, ikiwa ni mechi yake ya pili tu ya mashindano tangu...
RIYADH, Saudi ArabiaSTAA wa soka, Cristiano Ronaldo, ameingia kwenye historia nyingine ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 100 akiwa na klabu nne tofauti.Hata...
COLOMBO, Sri LankaRAIS wa zamani wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya rushwa, kwa mujibu wa taarifa ya polisi.Taarifa zinaeleza zaidi,...
JERUSALEM, IsraelWAZIRI wa Ulinzi wa Israel amesema watalisambaratisha eneo la Gaza endapo wapiganaji wa Palestina, Hamas, hawatasitisha mapigano.Mbali ya kutaka lisitishe mapigano, pia Waziri...
MANCHESTER, UingerezaBEKI wa Manchester City, Ruben Dias, ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya jijini Manchester.Diaz, raia wa Ureno mwenye umri...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Grace Magembe, ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za rufaa nchini kuhakikisha wanazingatia mawasiliano ya...
LONDON, EnglandARSENAL hawatanii. Wakati mabosi wa Tottenham wakiamini ni suala la muda kumtambulisha, Arsenal waliingilia na kumalizana na mshambuliaji wa Crystal Palace, Eberechi Eze....
*Kupunguza Rufaa nje ya nchi na kuvutia tiba utalii, Rais Dokta Samia awekeza bilioni tisa kusomesha madaktari bingwa
Na Clara Matimo, Gazetini-Mwanza
Serikali ya Awamu ya...
Na mwandishi wetu, GazetiniRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi Shilingi milioni 200 kwa wachezaji wa Taifa Stars endapo...
ROMA, ItaliaBAADA ya kujiunga na AS Roma, winga aliyekuwa Aston Villa, Leon Bailey, anakuwa mchezaji wa kwanza raia wa Jamaica kuitumikia klabu hiyo ya...