Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Nigeria na janga la hali ya usalama

LAGOS, NigeriaKATIKA baadhi ya maeneo ya Kaskazini mwa Nigeria, raia wanalazimika kuwalipa fedha waasi ili tu waishi kwa amani. Hilo limeshuhudiwa katika Kijiji cha...

Huyu ndiye mwandishi aliyeuawa, aliyeacha simanzi Gaza

JERUSALEM, PalestinaSIKU chache zilizopita, tukio la mauaji ya waandishi wa habari watano huko Gaza lilitikisa ulimwengu, huku Israel ikifahamika kuwa ndiyo iliyohusika kupitia mashambulizi...

Utafiti: Kamari husababisha changamoto ya afya ya akili

LOS ANGELES, MarekaniUTAMADUNI wa kucheza kamari umeonekana kukita mizizi kwa vijana wengi duniani, ingawa sasa utafiti umebaini kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya tabia...

Utafiti: Matumizi ya feni chanzo ugonjwa wa moyo

LOS ANGELES, MarekaniLICHA ya umuhimu wake, hasa kwa maeneo yenye hali ya hewa ya joto, matumizi ya feni yanaweza kuwa na madhara kwa afya...

Utafiti: Mboga za majani kinga dhidi ya saratani

LOS ANGELES, MarekaniKUEPUKA ulaji wa nyama na badala yake kutumia mboga za majani kutakuepusha na ugonjwa wa saratani kwa asilimia 25, utafiti unaeleza.Tafiti nyingi...

Reijnders; ‘Fundi’ mpya Etihad aliyeziba pengo la De Bryune

MANCHESTER, EnglandKUONDOKA kwa Kevin De Bryune kuliwaachia simanzi mashabiki wa Manchester City lakini ujio wa Tijjani Reijnders ni kama umeanza kuwasahaulisha kila kitu kuhusu...

Arsenal, Liverpool zapewa ubingwa msimu huu EPL

LONDON, EnglandHIYO ni kwa mujibu wa wakongwe wa Ligi Kuu ya England (EPL), Jamie Carragher na Gary Neville, ambao kwa sasa ni wachambuzi wa...

Mwani: Urithi wa pwani wenye fursa kubwa kitaifa na kimataifa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwani ni zao la baharini lenye thamani kubwa duniani. Kwa miongo kadhaa, wakulima wa mwani hususan visiwani Zanzibar na mikoa ya...

Reijnders afikia rekodi ya Aguero

MANCHESTER, EnglandSTAA mpya wa Manchester City, Tijjani Reijnders, amekuwa mchezaji wa kwanza wa klabu hiyo baada ya Sergio Aguero kufunga na kutoa 'asisti' katika...

Chiesa atamani kubaki Liverpool

MERSEYSIDE, EnglandKIUNGO wa pembeni wa Liverpool, Federico Chiesa, amefichua kuwa matamanio yake ni kubaki klabuni hapo.Wakati huo huo, Muitalia huyo amesema anajiandaa kukaa mezani...

Donnarumma dili limeiva Man City?

MANCHESTER, EnglandRIPOTI zinaeleza kuwa Manchester City wmaebakiza hatua chache tu kukamilisha usajili wa kipa wa PSG raia wa Italia, Gianluigi Donnaruma.Man City wamehamishia nguvu...

Mechi moja tu, mashabiki hawamtaki kocha West Ham

LONDON, EnglandBAADA ya kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Sunderland katika mechi yao ya kwanza msimu huu wa Ligi Kuu ya England, mashabiki wa...

Recent articles

spot_img