Na mwandishi wetu, Gazetini
MSANII wa Bongo Fleva anayefanya kazi zake nchini Afrika Kusini, Mau Music, ameendelea kutamba mitandaoni na kwenye majukwaa ya muziki baada...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Mabadiliko makubwa yanayoendelea ndani ya sekta ya nishati yanaanza kuibadili sura ya Jiji la Dar es Salaam, huku Serikali ikithibitisha kuwa...
TRIPOLI, Libya
MATUKIO ya wanawake watatu kuuawa yamezua mjadala mkubwa juu ya usalama jinsia hiyo nchini Libya.Staa wa mitandao ya kijamii, Khansa Al-Mujahid, aliuawa kwa...
SUCRE, Bolivia
MWEZI mmoja tu baada ya kutoka madarakani, polisi nchini Bolivia wamemtia nguvuni Rais mstaafu, Luis Arce, ili kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa.
Luis...
LONDON, Uingereza
USAJILI wa dirisha dogo wa Januari, mwakani, uko njiani kwa klabu za soka barani Ulaya, zikiwamo zile za Ligi Kuu ya England (EPL).
Manchester...
TOKYO, Japan
TETSUYA Yamagami, ambaye ni mwanaume aliyekutwa na hatia katika mashitaka ya kumuua Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amekiri makosa na...
RIO Brazil
BUNGE la Brazil limewasilisha mswada wa kuomba Rais wa zamani wa Taifa hilo, Jair Bolsonaro, kupunguziwa adhabu ya kifungo cha gerezani.
Bolsonaro mwenye umri...
WASHINGTON DC, Marekani
SERIKALI ya Marekani imezionya Thailand na Cambodia ikizitaka nchi jirani hizo kuacha mara moja vita inayoendelea. Kwa siku tatu mfululizo, yameshuhudiwa mapigano...
DARFUR, Sudan
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemuhukumu kifungo cha miaka 20 aliyekuwa kiongozi wa kikundi cha kijeshi cha Janjaweed nchini Sudan.
Ali Muhammad Ali...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMA utazizungumzia timu zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia hapo mwakani, basi hutaacha kuitaja England 'Three Lions'....
Na mwandishi wetu, Gazetini
HAFLA ya droo ya hatua ya makundi imeshafanyika huko Marekani, ikimaanisha sasa yangeshapatikana 12 yeye timu nne kila moja. Zilizofuzu ni...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
ACHANA na akina Pacome Zouzoua. Kama kuna jambo linalowapa jeuri mashabiki, viongozi na benchi la ufundi la Yanga, ni uwepo wa...