Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Tanzania yasisitiza uongezaji thamani madini barani Afrika

Riyadh, Saudi Arabia NAIBU Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa, amesema Tanzania imetambua shughuli za uongezaji thamani madini kama nguzo muhimu ya kuleta maendeleo endelevu...

Wachezaji Comoro waipongeza Taifa Stars

Na Mwandishi Wetu, Gazetini BALOZI wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu leo amekutana na  wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Comoro ambao wameipongeza...

Serikali kupitia REA kusaini mikataba ya kutekeleza mradi wa kusambaza umeme vitongoji 9,009

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera na Kusaini Mikataba ya...

Kamati ya Bunge Ustawi wa Jamii yaipongeza serikali

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imetoa pongezi kwa serikali kwa kutangaza amri ya kima cha...

Yanga bingwa Mapinduzi Cup 2026

Na Mwandishi Wetu, Gazetini YANGA imetwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi ikiifunga Azam FC kwa mikwaju ya penalti 5-4 katika mchezo wa fainali uliopigwa Januari...

Yacouba atambulishwa Mbeya City

Na Mwandishi Wetu, Gazetini NYOTA wa zamani wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne, ametambulishwa  rasmi na  klabu ya Mbeya City akiwa miongoni mwa...

Allan Okello rasmi atua Yanga

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kumsajili kiungo mshambuliaji raia wa Uganda, Allan Okello kutoka Vipers baada ya kumtambulisha usiku huu..

Mukwala atua kibabe Zanzibar, Simba ikiivaa Azam kesho Mapinduzi Cup

Na Winfrida Mtoi, Gazetini WAKATI Simba kitarajia kukabiliana na Azam FC kesho katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la Mapinduzi, mshambuliaji wa...

HaloPesa yahitimisha kampeni ya “Tamba na Bonasi”, yawakabidhi zawadi

Na Imani Nathaniel, Gazetini HaloPesa imehitimisha rasmi kampeni yake ya 'Tamba na Bonasi' baada ya kuwazawadia wateja wake zawadi mbalimbali zikiwemo bonasi na fedha taslimu...

Taifa Stars yafuzu 16 bora AFCON

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TIMU ya Taifa ya Tanzania ' Taifa Stars' imefuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya AFCON 2025 kama 'best loser'...

DPP awafutia kesi washtakiwa wawili wa kesi ya kuua bila kukusudia

Na Imani Nathaniel, Gazetini MKURUGENZI Mashitaka nchini (DPP), amewafutia kesi washtakiwa wawili kati ya sita waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia. Waliofutiwa mashtaka na...

Viongozi wa dini watakiwa kutumia lugha nzuri wanapohubiri

Na Imani Nathaniel, Gazetini VIONGOZI wa dini wametakiwa kutumia lugha njema wanapohubiri ili kuimarisha umoja wa kitaifa na kuzuia migawanyiko inayoweza kusababisha machafuko miongoni mwa...

Recent articles

spot_img