23.9 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Kubeti  kwachangia bilioni 17 pato la Taifa

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili, 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Sh 17.42 bilioni ...

TANESCO yatakiwa kubuni vyanzo vipya vya umeme

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea na kasi...

Raia  nchi 71 kuingia Tanzania bila viza

Na Mwandishi Wetu Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Hayo yamesemwa na...

Wizara ya Fedha yaoamba Sh 20.19  trilioni,  deni la Serikali  10.19 trilioni zimelipwa

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameliomba Bunge la  Tanzania kuidhinisha Sh 20.19  trilioni kwa ajili ya bajeti ya wizara hiyo kwa...

Waziri Mchengerwa atoa rai kwa walimu

Na John Mapepele  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza...

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yatakiwa kutanua wigo wa kazi

Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Stephen Nindi, ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kutanua wigo wa...

Mama Yoyo ya Dully Sykes yazidi kumpaisha YJ Kiboko

Na Mwandishi Wetu BAADA ya kimya cha muda mrefu, staa wa Bongo Fleva Yakuti Joseph a.k.a YJ Kiboko ameibuliwa upya na kolabo yake na mkongwe...

NMB ilivyonogesha Pugu Marathon 2025 , zaidi ya wanariadha 6000 wajitokeza

Na Mwandishi Wetu IKIWA ni msimu wa tatu mfululizo Mbio za Hisani za Pugu Marathon zimeendelea kukusanya wanariadha kutoka maeneo tofauti nchini ambapo mwaka huu...

Serikali yasisitiza Dabi iko pale pale Juni 15

Na Mwandishi Wetu Wakati Yanga ikiendelea na kampeni yake ya ‘Hatuchezi’ Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano watani  hao wa jadi,Yanga na Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni...

Dk.Samia atoa agizo kwa wanaochuja wagombea, asema Magwajima yaachwe nje

Na Mwandishi Wetu Mwenyewekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan,  amewataka wanaochuja wagombea wa uchaguzi...

CCM yaahidi kukamilisha Katiba mpya, kuzalisha ajira milioni 8

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika utekelezaji wa Ilani Mpya ya Chama Cha Mapinduzi ya Mwaka 2025/30, Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya CCM Prof. Kitila...

Mabondia wamchana ‘live’ Amos Mwamakula baada ya kushindwa kesi ya Vitasa na Azam Media

Na Mwandishi Wetu Mabondia wa ngumi za kulipwa nchini wamefurahia kitendo cha Azam Media kushinda Rufaa ya kesi ya Vitasa, huku wakikemea kitendo alichofanya bondia...

Recent articles

spot_img