Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Afya Jenista Mhagama, amezindua Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) na kuitaka bodi...
Na Mwandishi Wetu
Licha ya kufanya kikao na uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), leo Juni 9, 2025, Klabu ya Yanga imeendelea kushikilia msimamo...
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maonesho ya utalii ya Karibu– Kilifair yanaendelea kukuwa kimataifa na...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema anatamani kuona Tume ya Utumishi wa Walimu...
Na Mwandishi Wetu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Gugu, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na uhalifu unaovuka...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafungia matawi sita ya Kanisa la Ufufuo na Uzima yaliyokuwa yakiendelea na huduma katika maeneo tofauti mkoani...
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na migogoro ya...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65 baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Lungu amefariki akita latina matibabumaalum kwenye...
Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji Maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre ambapo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu itaendelea kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya...
Na Mwandishi Wetu
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, leo Alhamisi Juni 5, 2025, ametangaza kujiunga na Chama cha...
Na Mwandishi Wetu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ametoa rai kwa wafamasia nchini kuendelea kulipa kipaumbele suala la...