24.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mkutano wa siasa wasababisha vifo 39

MUMBAI, IndiaWATU 39 wamepoteza maisha na wengine 51 kujeruhiwa katika tukio la kukanyagana lililotokea wakati wa mkutano wa siasa Kusini mwa India.Kwa mujibu wa...

Wananchi wa aina hii wanaijua thamani ya boksi la kura?

Na Hassan Mwasha, GazetiniMIKUTANO ya kampeni inaendelea kote nchini. NI takribani mwezi mmoja tu umebaki kabla ya Watanzania kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika...

Utafiti: Uvutaji wa bangi chanzo ugumba kwa wanawake

Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI nchini Canada umebaini kuwa wanawake wanaojihusisha na utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi wako hatarini kupata tatizo la...

Burna Boy awakataa Ronaldo, Messi

LAGOS, NigeriaSUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Burna Boy, 'amewapotezea' Cristiano Ronaldo na Lionel Messi na kumtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mwanasoka bora wa...

Mashabiki wamtolea uvivu George Weah

MONROVIA, LiberiaRAIS wa zamani wa Liberia, George Weah, amekumbana na ukosolewaji mkali kutoka kwa mashabiki baada ya kauli yake ya hivi karibuni.Weah aliyewahi kucheza...

Flick afunguka Yamal kukosa Ballon d’Or

CATALUNYA, HispaniaKOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, amesema staa wake, Lamine Yamal, atakuwa bora zaidi kutokana na hasira za kuikosa Ballon d'Or ya mwaka huu.Yamal...

Mashabiki Simba kulipa faini ya CAF

Na Winfrida Mtoi, Gazetini KLABU ya Simba imewatangazia wanachama na mashabiki wa timu hiyo namba maalumu za  kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia kulipa  faini...

Yanga, Simba zaumiza kichwa mapambano ya jezi feki

Na Mwandishi Wetu UONGOZI wa Klabu ya Yanga umekiri kuwa vita ya kudhibiti jezi feki ni ngumu pamoja na jitihada wanazofanya na kutumia mbinu nyingi...

Bondia afariki siku chache baada ya kupigwa

ACCRA, GhanaBONDIA mwenye umri wa miaka 27, Ernest Akushey, ameripotiwa kupoteza maisha, zikiwa ni siku chache tu tangu alipopoteza pambano.Akushey alidundwa na Jacob Dickson...

Jinsi ya kukabiliana na taarifa za uzushi mitandaoni

Na Winifrida Mtoi, Gazetini TAARIFA za uzushi zimeendelea kusambaa kwa kasi kubwa katika mitandao ya kijamii, hasa kutokana na ongezeko la watumiaji wa majukwaa hayo...

Locatelli asakwa kila kona England

TURIN, ItaliaSAINI ya kiungo wa Juventus, Manuel Locatelli, inawindwa vikali na klabu za Ligi Kuu ya England, zikiwamo Aston Villa na West Ham United.Wakati...

Maignan aingia rada za Man United

TURIN, ItaliaKLABU ya Manchester United imeanza kumfuatilia mlinda mlango wa AC Milan, Mike Maignan, licha ya kwamba wana upinzani mkali kutoka kwa Chelsea.Man United...