24 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Taifa Stars yakabidhiwa bendera tayari kwa AFCON 2025

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameiaga rasmi na kuikabidhi bendera timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa...

Australia kudhibiti zaidi umiliki wa silaha

CANBERRA, Australia SERIKALI ya Australia imepanga kukazia zaidi sheria zinazopiga marufuku umiliki wa silaha za moto kwa wananchi wake. Hatua hiyo inakuja baada ya shambulizi la...

Lewandowski kumfuata Messi

MIAMI, Marekani INTER Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imeripotiwa kuwa mstari wa mbele katika kuiwania saini ya mpachikaji mabao wa Barcelona raia wa...

Bayern hesabu zote kwa Fernandes

MUNICH, Ujerumani VIGOGO wa soka la Ujerumani, Bayern Munich, wanavutiwa na mpango wa kumsajili nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes. Fernandes mwenye umri wa miaka 31,...

Dj auawa kwa kupigwa risasi

JOHANNESBURG, Afrika Kusini DJ maarufu wa Afrika Kusini, Warrick Stock, akifahamika zaidi kwa jina 'DJ Warras', ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Johannesburg. Polisi wamesema Dj Warras...

Mastaa wa kigeni Bongo watakaotua AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini LIGI Kuu Bara imeendelea kuvuna ushawishi wake nje ya si tu Afrika Mashariki, bali pia katika soka la Afrika kwa ujumla. Ni...

Simulizi za AFCON (6): Mastaa na vitendo vya ushirikina

LAGOS, Nigeria MADAI ya vitendo vya kishirikina si jambo geni katika historia ya fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON). Hii ikoje? Endelea kusoma. Wakati wa fainali...

Sowah, Kante matatani, Aucho naye yumo

Na Winfrida Mtoi, Gazetini NYOTA wa Simba Jonathan Sowah na Allasane Kante wamefungiwa michezo mitano na faini ya Sh 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la...

Takwimu zinazomkaba kocha Spurs

LONDON, Uingereza MATOKEO ya kufungwa mabao 3-0 na Nottingham Forest katika mchezo uliopita yameifanya Tottenham kushika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya...

Simulizi za AFCON (7): Mechi moja Stars yatimua kocha

DAR ES SALAAM, Tanzania KATIKA fainali za Mataifa ya Afrika msimu uliopita, 2024, Taifa Stars ilikuwa sehemu ya timu zilizokuwa gumzo kwa kiasi fulani kwenye...

Alidumu siku 80 tu Yanga, sasa shujaa wa Mali akielekea AFCON

Na mwandishi wetu, Gazetini MALI ni moja ya mataifa 24 yatakayokuwa nchini Morocco kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazoanza...

Ban Ki-moon: Ni wakati wa mageuzi UN kutatua migogoro ya Dunia

NEW YORK, Marekani TASWIRA iliyojitokeza jijini New York, ndani ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, inakumbusha nyakati ambazo hazijapita sana, lakini ambazo sasa zinajionyesha...