Na mwandishi wetu, Gazetini
TAKWIMU za sasa, kwa mujibu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), uchafuzi wa mazingira umeongezeka kwa kasi katika...
SHATILA, Lebanon
LEBANON imetajwa na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni 'jehanamu' kwa baadhi ya raia wa kigeni wanaoingia nchini humo kwa lengo la...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
SHAMRASHAMRA kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON-2025), zimezidi kupamba moto, hasa baada ya timu shiriki za michuano hiyo kuanza kuwasili nchini...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
SHAURI la kuporomoka kwa ghorofa la Kariakoo limekwama kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo kwa washitakiwa wa kesi ya mauaji bila...
LONDON, Uingereza
SERIKALI ya Uingereza imemtaka mmiliki wa zamani wa Chelsea, Roman Abramovich, kuchagua kati ya kuichangia Ukraine kiasi cha Pauni bilioni 2.5 au kukubali...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMA kuna alama isiyofutika na itakayobaki kwa miaka mingi katika historia ya soka la Tanzania, basi ni kile alichokifanya Mbwana Samatta.
Mchezaji...
MADRID, Hispania
STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amebakiza bao moja kufikia rekodi ya mkongwe wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo.
Katika mchezo wa jana Desemba 17,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI huu raia wengi wakiwa bado hawana makazi, mvua kubwa iliyonyesha kwa takribani wiki moja imesababisha hali kuwa mbaya zaidi.
Msemaji wa...
WASHINGTON DC, Marekani
MAKAMU Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI), Dan Bongino, amesema atajiuzulu wadhifa huo ifikapo Januari, mwakani.
Katika taarifa yake aliyochapisha katika...
LONDON, Uingereza
NI miezi michache tu imebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazotimua vumbi kwa mwezi mmoja kuanzia Juni, mwakani.
Kuelekea fainali...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ZIMEBAKI siku chache tu kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini Morocco. GAZETINI...