Na Mwandishi Wetu, Gazetini
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema linachunguza tukio la kuchoma moto na kuharibu magari mawili yaliyotumika kusafirishia mwili wa marehemu, tukio lililofanywa...
ZIMEBAKI siku chache tu kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini Morocco.
GAZETINI inakuletea vikosi vya wachezaji...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameiaga rasmi na kuikabidhi bendera timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa...
CANBERRA, Australia
SERIKALI ya Australia imepanga kukazia zaidi sheria zinazopiga marufuku umiliki wa silaha za moto kwa wananchi wake.
Hatua hiyo inakuja baada ya shambulizi la...
MIAMI, Marekani
INTER Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imeripotiwa kuwa mstari wa mbele katika kuiwania saini ya mpachikaji mabao wa Barcelona raia wa...
MUNICH, Ujerumani
VIGOGO wa soka la Ujerumani, Bayern Munich, wanavutiwa na mpango wa kumsajili nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes.
Fernandes mwenye umri wa miaka 31,...
JOHANNESBURG, Afrika Kusini
DJ maarufu wa Afrika Kusini, Warrick Stock, akifahamika zaidi kwa jina 'DJ Warras', ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Johannesburg.
Polisi wamesema Dj Warras...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LIGI Kuu Bara imeendelea kuvuna ushawishi wake nje ya si tu Afrika Mashariki, bali pia katika soka la Afrika kwa ujumla.
Ni...
LAGOS, Nigeria
MADAI ya vitendo vya kishirikina si jambo geni katika historia ya fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON). Hii ikoje? Endelea kusoma.
Wakati wa fainali...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
NYOTA wa Simba Jonathan Sowah na Allasane Kante wamefungiwa michezo mitano na faini ya Sh 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la...
LONDON, Uingereza
MATOKEO ya kufungwa mabao 3-0 na Nottingham Forest katika mchezo uliopita yameifanya Tottenham kushika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya...
DAR ES SALAAM, Tanzania
KATIKA fainali za Mataifa ya Afrika msimu uliopita, 2024, Taifa Stars ilikuwa sehemu ya timu zilizokuwa gumzo kwa kiasi fulani kwenye...