RABAT, Morocco
YAKIWA ni maandalizi ya fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2030, mbwa milioni tatu wameuawa nchini Morocco na kusababisha wanaharakati wa haki...
RABAT, Morocco
DROO ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho imechezeshwa leo Februari 17, 2026 mjini Rabat.
Je, droo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesifu matumizi sahihi ya fedha za kodi za Watanzania katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere...
NAIROBI, Kenya
MGOMO wa wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta umesababisha kuchelewa kwa baadhi ya safari.
Kama itakumbukwa, wiki iliyopita Mamlaka ya...
LONDON, Uingereza
KAMA kawaida, mechi za Ligi Kuu ya England (EPL) zitashuhudia mapumziko ya dakika kadhaa kuruhusu wachezaji watakaokuwa kwenye ibada ya Mwezi Mtukufu wa...
LONDON, Uingereza
NI miezi miwili pekee tangu mwaka 2026 ulipoanza na tayari kuna orodha ya mastaa wa soka waliotangaza kuachana na mchezo huo.
Je, ni akina...
MANCHESTER, Uingereza
UNAMKUMBUKA beki wa zamani wa Manchester United, West Brown? Alisifika kwa 'ukatili' wake ndani ya uwanja, hasa kwa washambuliaji tishio aliokabidhiwa kuwadhibiti.
Brown aliyezaliwa...
MOSCOW, Urusi
UINGEREZA na washirika wake imedai kuwa sumu itokanayo na chura ndiyo iliyotumika kumuua kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny.
Navalny alipoteza maisha akiwa...
MERSEYSIDE, Uingereza
MOHAMED Salah amekuwa mchezaji pekee wa England aliyefunga na kutoa 'asisti' mara nyingi katika mchezo mmoja, kwa mujibu wa takwimu za tangu msimu...
LONDON, Uingereza
ALIYEWAHI kuwa mmiliki wa klabu ya Nottingham Forest ya Ligi Kuu ya England (EPL), Fawaz Al-Hasawi, anaendelea vizuri baada ya kuvamia na kujeruhiwa...
NAIROBI, Kenya
KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Kenya 'Harambee Stars', Benni McCarthy, amesema kupangwa kundi gumu kunaweza kutibua ndoto zao za kufanya...
KYIV, Ukraine
ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Nishati wa Ukraine, German Galushchenko, anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya jaribio lake la kutorokea ughaibuni kugonga mwamba.
Galushchenko...