LONDON, Uingereza
KLABU za Manchester United na Chelsea zimeripotiwa kukanusha ripoti zinazodai kuwa zimewasiliana na kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Klopp, raia wa Ujerumani...
LISBON, Ureno
KOCHA wa Benfica, Jose Mourinho, ameziita kuwa ni uzushi taarifa zinazomuhusisha na kibarua cha kuinoa Real Madrid.
Waandishi wa habari walimuuliza Mourinho juu ya...
MERSEYSIDE, England
BABA mzazi wa Alexis Mac Allister, Carlos, amesema kiungo huyo wa Liverpool kwa sasa haifikirii klabu yoyote zaidi ya 'Majogoo' hao wa Anfield.
Carlos,...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Petit, amesema ni jambo lisiloepukika kwa Mikel Arteta kuondoka klabuni hapo.
Wakati huo huo, Mfaransa huyo amemshauri Arteta...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HUENDA ukawa unachukulia poa, lakini tabia ya kufuatilia kila anachoweka mpenzi wako wa zamani (ex) huko mitandaoni kunaweza kukusababisha matatizo ya...
LUSAKA, Zambia
FAMILIA ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imekanusha madai kuwa mwanasiasa huyo alikuwa kwa sumu.
Lungu hajazikwa tangu alipofariki Juni, 2025 akiwa...
MADRID, Hispania
NI tofauti ya pointi mbili tu. Real Madrid wako kileleni mwa msimamo, wakati Barcelona wako nyuma yao wakiwa na pointi 58, huku kila...
WASHINGTON DC, Marekani
VATICAN imeweka wazi kuwa haitakuwa sehemu ya Bodi ya Amani ya Rais Donald Trump, licha ya kukiri kupokea mwaliko.
Awali, Bodi hiyo ililenga...
MOSCOW, Urusi
"MAISHA yamekuwa ghali mno." Ni kauli ya Alexander, mkazi wa mjini Moscow, ambaye ni mtaalamu wa moja ya kampuni kubwa za matangazo nchini...
GENEVA, Uswis
MAZUNGUMZO yanayoendelea kati ya Ukraine, Urusi na Marekani mjini Geneva yamemalizika, ingawa hakuna mwafaka uliofikiwa.
Marekani ikiwa msuluhishi, inajaribu kumaliza vita vilivyodumu kwa miaka...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Barcelona sasa ina kazi ngumu kumbakiza Marcus Rashford baada ya Manchester United kusema straika huyo hauzwi.
Barcelona ilimchukua kwa mkopo wa msimu...
LONDON, Uingereza
KLABU za Arsenal na Chelsea zimepata pigo kubwa baada ya watu wa karibu wa Julian Alvarez kusema nyota huyo anaitaka Barcelona.
Ripoti zilizopo zinaeleza...