Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Hii ndiyo tofauti ya maisha ya China, Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini MATAIFA mawili yanayopeana upinzani mkali katika nyanja ya kiuchumi, yakitajwa kuongoza duniani kwa upande wa maendeleo ya sayansi na teknolojia. Kupitia utafiti...

Rais Samia azindua jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Na Mwandishi Wetu,Gazetini AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 24, 2026, amezindua jengo la Makao Makuu...

Mwandishi aliyeingia kazini akiwa amelewa aomba radhi

MILAN, Italia MWANDISHI wa habari raia wa Italia, Danika Mason, ameomba radhi baada ya video iliyosambaa mitandaoni kumuonesha akiwa amelewa pombe. Mason ni miongoni mwa waandishi...

Migodi mikubwa nchini yatakiwa kuwezesha wachimbaji wadogo

Na mwandishi wetu, Gazetini Wito umetolewa kwa makampuni makubwa ya uchimbaji madini nchini kuwekeza katika kuwawezesha wachimbaji wadogo katika nyanja mbalimbali ikiwemo teknolojia za kisasa...

Vilevi vinavyotumiwa na vijana wengi Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka mingi, matumizi ya vilevi yamekuwa yakitafsiriwa kuwa ni mtindo wa kisasa wa maisha ya vijana wengi duniani kote. Licha ya...

Serikali yazindua mpango mahsusi wa umeme jua visiwani

-Kuchochea uchumi wa buluu Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imezindua mpango mahsusi wa kusambaza mifumo ya umeme jua katika visiwa 120 nchini, hatua inayolenga kuchochea Uchumi...

Viwanja vya soka vikubwa zaidi duniani

LONDON, Uingereza UKIWA na uwezo wa kupokea mashabiki 132,000, Uwanja wa Narendra Modi ndiyo mkubwa zaidi katika ulimwengu wa mchezo wa soka. Uwanja huo uko...

Maktaba| Kiti kilivyosababisha ‘bifu’ la Henry, Nasri

Na mwandishi wetu, Gazetini MAKTABA ni safu mpya itakayokuwa ikikujia kupitia hapa GAZETINI, ikilenga kukupa simulizi za mikasa ya ndani na nje ya uwanja ya...

CAF yaipa Kenya siku 90 tu

NAIROBI, Kenya TIMU ya wakaguzi ya Shirikisho la Soka l Afrika (CAF) haijaridhishwa na kiwango cha maandalizi yaliyofanyika kwa ajili ya fainali zijazo za AFCON...

Madrid yabisha hodi UEFA ‘ishu’ ya Vinicius

MADRID, Hispania Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilisimama kwa dakika 10 baada ya Vinicius kumlalamikia mwamuzi kuwa mchezaji wa Benfica, Gianluca Prestianni, amemwita...

Arsenal kuchomoa kinda Madrid

LONDON, Uingereza ARSENAL inaongoza katika mbio za kuiwania saini ya kinda wa Real Madrid,  Victor Valdepenas, kwa mujibu wa Gazeti la AS la Hispania. Nyota huyo...

Mastaa hawa wanajutia kuzihama timu zao

MERSEYSIDE, Uingereza UMESHAWAHI kusikia msemo wa 'usajili ni kamari'? Kwamba wakati mwingine mchezaji anayefanya vizuri akiwa na klabu moja anaweza 'kupotea' baada ya kuhamia kwingine. Mifano...