Na mwandishi wetu, Gazetini
YANGA itakuwa mwenyeji wa mchezo kuwakaribisha wapinzani wao, Simba, katika dakika 90 za mtoto, ukiwa ni mwendelezo wa Ligi Kuu Bara...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imeendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji katika sekta ya usafiri wa anga kwa kuimarisha miundombinu ya viwanja vya ndege, hatua iliyochangia...
Na mwandishi wetu, Morogoro
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk. James Mataragio, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SUALA la kupata nafasi ya ajira baada tu ya kumaliza masomo limekuwa 'pasua kichwa' kwa wahitimu wengi wa vyuo vikuu. Si...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA wapenzi wa mitandao ya kijamii, hasa 'walevi' wa habari za burudani, Chief Godlove si jina geni masikioni na machoni mwao.
Ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
DUNIA inakwenda kasi. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanaibua gunduzi zinazorahisha na kuleta ufanisi wa shughuli mbalimbali.
Kwa sasa, fani ya udaktari...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, amezindua kampeni ya mafunzo kwa wajasiriamali wadogo ambayo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NDIYE aliyefunga mabao yote katika ushindi wa 2-0 walioupata Yanga 'Timu ya Wananchi' katika mchezo uliopita dhidi ya Cosmo Politan.
Ulikuwa ni...