LOS ANGELES, MarekaniMWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Sean Kingston, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu na nusu gerezani katika kesi yake ya wizi.Kingston, pamoja na mama...
TORONTO, CanadaWAFANYAKAZI wa Shirika la Ndege la Canada wameendelea na mgomo wakishinikiza ongezeko la mshahara.Kwa mujibu wa Shirika hilo, mgomo huo wa wafanyakazi, wakiwano...
Na Jonathan Benedict, Gazetini
Kila mwaka, maelfu ya tani za chupa za kioo hutupwa nchini Tanzania baada ya matumizi. Tafiti za mazingira zinaonyesha kuwa chini...
LONDON, EnglandKOCHA Mikel Arteta amesema hana mpango wa kumpokonya unahodha kiungo wake raia wa Noray, Martin Odegaard.Arteta ni kama amemjibu lejendari wa Arsenal, Tony...
CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imetangaza kumpa mkataba mpya beki wake wa pembeni raia wa Ufaransa, Jules Kounde, na sasa atabaki Camp Nou hadi mwaka...
MERSEYSIDE, EnglandSTAA wa Liverpool, Mohamed Salah, alishindwa kuzuia machozi yasimtoke aliposikia mashabiki wa klabu hiyo wakiliimba jina la aliyekuwa mchezaji wao, Diogo Jota, ambaye...
MANCHESTER, EnglandKOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amesisitiza kuwa bado Ederson ataendelea kuwa changuo la kwanza langoni msimu huu.Guardiola amekuja na kauli hiyo licha...
ISLAMABAD, PakistanWATU takribani 200 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko mjini Kashmir, Pakistan.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, likiwamo Shirika la...
LONDON, EnglandMSIMU mpya wa uhondo wa mechi za Ligi Kuu ya England (EPL) ulianza jana. Kama ilivyo kawaida, wapo wachezaji wanaopewa nafasi kubwa ya...
LONDON, EnglandMECHI kubwa ya kwanza msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL), ambapo Jumapili hii Manchester United watakuwa nyumbani Old Trafford kuwakaribisha Washika...
BAMAKO, Mali
HALI ya taharuki imeibuka nchini Mali baada ya wanajeshi takarbani 50 kushikiliwa kwa madai ya kusuka mpango wa kuipindua Serikali inayoliongoza Taifa hilo...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mwandishi wa habari, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kamisheni...