Na Mwandishi Wetu, Gazetini
BONDIA wa Kimataifa wa ngumi za kulipwa Tanzania, Hassan Mwakinyo anatarania kupanda ulingoni Desemba 26, 2025, jijini Mwanza, huku akitamani kupata...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Yanga imewaomba radhi mashabiki wake na kutoa kuhusu fedha kiasi cha sh 100 milioni walizotoa mchango katika harambee ya kuchangia...
Na Jonathan Benedict, Gazetini
Idadi inayoongezeka ya viongozi duniani sasa wanazingatia ujuzi wa kutumia Akili Unde au bandia (AI) kama sharti lisiloweza kupuuzwa wakati wa...
Na mwandishi wetu, GazetiniKWA wiki chache za hivi karibuni, medani ya siasa barani Afrika imeshuhudia purukushani wanazopitia wanasiasa wa upinzani katika mataifa ya Ivory...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Dodoma Jiji imeachana na mchezaji Ibrahim Ajibu aliyejiunga na timu hiyo msimu uliopita.
Tangu klabu hiyo imemtangaza kocha mpya, Vincent Mashami...
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa tani...
ISTANBUL, UturukiKUELEKEA msimu ujao, klabu za Ligi Kuu ya Uturuki zimeonekana kuvimbiana na zile za matajiri wa Saudi Arabia katika soko la usajili la...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Utafiti wa kipekee uliofanywa na mtaalamu wa mahusiano kati ya wanyama na binadamu (anthrozoologist) John Bradshaw kutoka Chuo Kikuu cha Bristol...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Watafiti wamefanikiwa kuonesha teknolojia ya mawasiliano ya 6G ambayo inaweza kuwa hadi mara 9,000 zaidi ya kasi ya 5G ya sasa,...
BOGOTA, ColombiaMGOMBEA urais katika Uchaguzi Mkuu ujao nchini Colombia, Miguel Uribe, amefariki akiwa na umri wa miaka 39 ikiwa ni miezi miwili tu imepita...
Na Mwandishi Wetu
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinahitaji kupata sh 100 bilioni kwa ajili ya shughuli za kampeni kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...