LONDON, UingerezaCRISTIANO Ronaldo ndiye mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka jana, akivuna mara mbili zaidi ya mpinzani wake, Lionel Messi.Kwa mwaka jana...
MERSEYSIDE, UingerezaMABOSI wa Everton wanaangalia uwezekano wa kumsajili moja kwa moja winga wao wa mkopo kutoka Manchester City, Jack Grealish.Grealish amekuwa moto wa kuotea...
Na mwandishi wetu, GazetiniJINA la Anutin Charnivirakul si geni nchini Thailand. Ni mwanasiasa mkongwe na hivi karibuni aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya kura...
Na mwandishi wetu, GazetiniUNAFAHAMU nini kuhusu 'NepoKids'? Huo ni msamiati mpya na maarufu zaidi wakati huu wa maandamano makubwa ya raia wanaoipinga Serikali iliyoko...
LONDON, UingerezaKLABU ya Chelsea imefunguliwa mashitaka 74 yanayohusu malipo yake kwa mawakala wa wachezaji.Mashitaka hayo ya Chama cha Soka cha England (FA) ni juu...
ISTANBUL, UturukiMLINDA mlango wa kimataifa wa Cameroon, Andre Onana, amejiunga na Trabzonspor ya Uturuki akitokea Manchester United kwa mkopo wa msimu mmoja.Usajili huo ulikamilishwa...
JUBA, Sudan KusiniMAKAMU wa Rais wa Kwanza wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashitaka akishutumiwa kwa uhaini na mauaji.Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria,...
RIO, BrazilRAIS wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani kwa kosa la kusuka mpango wa kupindua...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kuwa msimu wa mvua za vuli kwa mwaka 2025, unaotarajiwa kuanzia Oktoba hadi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina leo Septemba 11, 2025 ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini Burundi
Timu ya Taifa ya watu wenye ulemavu Tanzania 'Tembo Warriors' imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Afrika...