Na Mwandishi Wetu,Gazetini
Watu saba wamefariki dunia wakiwamo wanafunzi wawili wa kidato cha sita wa shule ya Sekondari Songe, Musoma baada ya gari Toyota Succeed walilokuwa wakisafiria...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
MASHABIKI wa timu ya Simba wamejitokeza kwa wingi kuhakikisha wanashuhudia kilele cha Simba Day leo Septemba 10, 2025, burudani kutoka kwa...
YAMOUSSOUKRO, Ivory CoastMKE wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, ni miongoni mwa wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.Simone Gbagbo mwenye umri...
PARIS, UfaransaRAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amemtangaza Sebastien Lecornu kuwa Waziri Mkuu mpya akichukua nafasi ya Francois Bayrou.Lecornu mwenye umri wa miaka 39, alikuwa...
KATHMANDU, NepalMAANDAMANO ya wananchi wenye hasira kali yamepelekea kuchomwa kwa ofisi za Bunge nchini Nepal, hatua iliyosababisha Waziri Mkuu kujiuzulu.Hasira za wananchi zimetokana na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wake dhidi ya Niger uliopigwa leo Septemba 9, 2025 katika Dimba la...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesitisha mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), uliopangwa kufanyika Oktoba 4,...
-Wakiwa viongozi wa JET, sasa wanaiwakilisha Tanzania katika nafasi za juu za Umoja wa Mataifa chini ya mkataba wa UNCCD.
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania imeendelea...
THE HAGUE, UholanziMAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imehairisha usikilizaji wa mashitaka yanayomkabili Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte.Kwa mujibu wa wanasheria wake,...
LONDON, EnglandNI mapema mno lakini tayari baadhi ya klabu zinaonesha dalili ya kushuka daraja msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL). Ikumbukwe, timu...
LONDON, UingerezaTUKUTANE Januari. Zipo dili nyingi zilizokwama wakati wa usajili wa dirisha kubwa lililofungwa hivi karibuni na sasa zinasubiri Januari.Je, ni dili zipi zilizoshindwa...