Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

World CUP

Timu hizi zikikutana ni balaa Kombe la Dunia 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini MACHO yote yataelekezwa Mexico ifikapo Juni 11, 2026 kushuhudia mchezo wa ufunguzi wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu,...

Huyu ndiye mchezaji ‘mzee’ zaidi Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza ZIMABEKI siku tisa tu. Ni fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza Juni 11, 2026 huko Marekani, Canada na Mexico, zikitarajiwa kufanyika kwa mwezi...

Wawili wakamatwa wakiuza jezi ‘feki’ za Kombe la Dunia

TORONTO, Canada POLISI nchini Canada wanawashikikia watu wawili baada ya kuwakuta na mzigo wa jezi feki za fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

Serengeti Boys kuandika historia nyingine Kombe la Dunia?

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya kufika fainali ya AFCON kwa vijana wa U-17, Serengeti Boys itashiriki michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana wa...

Walker amlipua Tuchel kisa Maguire kuachwa kikosini

LONDON, Uingereza Mbali na Maguire, Walker hajafurahisishwa na uamuzi wa Tuchel kutowaita kikosini Luke Shaw na Morgan Gibbs-White. “Harry Maguire na Luke Shaw walikuwa na viwango...

Makocha hawa ‘out’ baada ya Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza NI siku 10 tu zimebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico. Wakati Argentina...

Hii ndiyo timu yenye wakongwe wengi Kombe la Dunia 2026

PANAMA CITY, Panama FAINALI za Kombe la Dunia ziko njiani, zikiwa zimebaki siku tisa pekee kuanza kushuhudia mataifa 48 yakitoana jasho kwa kipindi cha mwezi...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: MEXICO

MEXICO CITY, Mexico MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: AFRIKA KUSINI

JOHANNESBURG, Afrika Kusini MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: CZECH

PRAGUE, Czech MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: KOREA YA KUSINI

SEOUL, Korea Kusini MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea...

Vikosi vya pesa ndefu Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza SIKU zinazidi kusogea na sasa zimebaki tisa tu kabla ya filimbi ya kwanza kupulizwa msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza...

Recent articles