Ads: info@gazetini.co.tz |
22.5 C
Dar es Salaam

Michezo

Tanzania yajipanga kuandika historia mpya duniani, wenyeji Miss World 2027

Na Winfrida Mtoi TANZANIA imethibishwa rasmi kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa la urembo duniani ‘Miss World 2027’, huku Serikali ikisema imejipanga kuhakikisha linafanyika kwa mtindo...

Simbu ang’ara tena Boston Marathon, ashika nafasi ya pili

Na Mwandishi Wetu Mwanariadha nyota wa Tanzania, Sajinitaji Alphonce Simbu, ameendelea kufanya vizuri Boston Marathon baada ya kushika nafasi ya pili kwa mwaka wa pili...

Mambo 10 Bayern ikitwaa tena ubingwa Bundesliga

MUNICH, Ujerumani BAYERN Munich wameendeleza ubingwa wao Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) baada ya kutwaa taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo. Bayern wamebaki na taji...

City kuvunja rekodi usajili wa staa Newcastle

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City inataka kuvunja rekodi ya usajili duniani wa mchezaji wa ulinzi kwa kumchukua staa wa Newcastle United, Tino Livramento. Man City...

Kocha, mabosi Chelsea sasa maji ya shingo

LONDON, Uingereza KABLA ya mechi yao dhidi ya Manchester United kuanza, mashabiki wa Chelsea walionekana wakiandamana nje ya Uwanja wa Stamford Bridge wakishinikiza mabadiliko yanayoweza...

Mbappe achagua kocha mpya Madrid

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, havutiwi na tetesi za klabu hiyo kumtaka Jurgen Klopp, na badala yake anatamani Zinedine Zidane aajiriwe. Klopp amekuwa...

Watoto wang’ara mashindano ya kuogelea, Serikali yaahidi makubwa

Na Winfrida Mtoi ​MASHINDANO ya kuogelea kwa watoto ya ‘East Africa Development Swimming Gala’ yameanza kwa kishindo leo jijini Dar es Salaam, huku vipaji vilivyoonyeshwa...

Waziri Mkuu ahimiza ufungaji wa kamera  viwanjani kudhibiti ushirikina

Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu, Dk.Mwigulu Nchemba, amehimiza ufungaji wa kamera nyingi katika viwanja vya michezo, ikiwamo uwanja Arusha ili kudhibiti vitendo vya ushirikina na...

Simba yapewa kina Chobwedo, Yanga maafande robo fainali shirikisho

Na Mwandishi Wetu DROO ya hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho, imefanyika leo Aprili 17, 2026, jijini Dar es Salaam, ambapo...

Kocha Bilo afariki dunia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MMILIKI wa Kituo cha Soka cha Bilo Jijini Mwanza, Kocha Athuman Bilal ambaye pia amewaki kuwa kocha wa timu mbalimbali nchini,...

Chipukizi wa kuogelea kushindana ‘ East Africa Development Swimming Gala’

Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya waogeleji 600 wanatarajiwa kushiriki katika mashindano ya kuogelea ya chipukizi kwa vijana wadogo ‘East Africa Development Swimming Gala’ yatakayoanza Aprili...

Simba yaipasua Fountain Gate

Na Mwandishi Wetu SIMBA imechukua alama zote tatu kwa Fountain Gate kufuatia ushindi wa 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa dimba la...

Recent articles