Ads: info@gazetini.co.tz |
23.7 C
Dar es Salaam

Michezo

Arsenal, Liverpool zapewa ubingwa msimu huu EPL

LONDON, EnglandHIYO ni kwa mujibu wa wakongwe wa Ligi Kuu ya England (EPL), Jamie Carragher na Gary Neville, ambao kwa sasa ni wachambuzi wa...

Reijnders afikia rekodi ya Aguero

MANCHESTER, EnglandSTAA mpya wa Manchester City, Tijjani Reijnders, amekuwa mchezaji wa kwanza wa klabu hiyo baada ya Sergio Aguero kufunga na kutoa 'asisti' katika...

Chiesa atamani kubaki Liverpool

MERSEYSIDE, EnglandKIUNGO wa pembeni wa Liverpool, Federico Chiesa, amefichua kuwa matamanio yake ni kubaki klabuni hapo.Wakati huo huo, Muitalia huyo amesema anajiandaa kukaa mezani...

Donnarumma dili limeiva Man City?

MANCHESTER, EnglandRIPOTI zinaeleza kuwa Manchester City wmaebakiza hatua chache tu kukamilisha usajili wa kipa wa PSG raia wa Italia, Gianluigi Donnaruma.Man City wamehamishia nguvu...

Mechi moja tu, mashabiki hawamtaki kocha West Ham

LONDON, EnglandBAADA ya kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Sunderland katika mechi yao ya kwanza msimu huu wa Ligi Kuu ya England, mashabiki wa...

Nkunku mguu mmoja Bayern Munich

MUNICH, UjerumaniMATAJIRI wa Chelsea wameanza mazungumzo na Bayern Munich, ajenda kuu ikiwa ni mshambuliaji raia wa Ufaransa, Christopher Nkunku.Blues wako tayari kumwachia Nkunku, ambaye...

Mkorea wa PSG awindwa Arsenal, Man United

PARIS, UfaransaKLABU kongwe za England, Arsenal na Manchester United, zinapigana vikumbo kuiwania saini ya mshambuliaji wa PSG raia wa Korea Kusini, Lee Kang-in.Nyota huyo...

Stars ni rekodi za kibabe tu CHAN 2024

Na mwandishi wetu, GazetiniKWA mara ya kwanza katika historia ya CHAN, timu ya soka ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetinga robo fainali, tena...

Arteta amjibu mkongwe Arsenal

LONDON, EnglandKOCHA Mikel Arteta amesema hana mpango wa kumpokonya unahodha kiungo wake raia wa Noray, Martin Odegaard.Arteta ni kama amemjibu lejendari wa Arsenal, Tony...

Kounde aongeza mkataba Barcelona

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imetangaza kumpa mkataba mpya beki wake wa pembeni raia wa Ufaransa, Jules Kounde, na sasa atabaki Camp Nou hadi mwaka...

Salah amwaga machozi kumlilia Jota

MERSEYSIDE, EnglandSTAA wa Liverpool, Mohamed Salah, alishindwa kuzuia machozi yasimtoke aliposikia mashabiki wa klabu hiyo wakiliimba jina la aliyekuwa mchezaji wao, Diogo Jota, ambaye...

Guardiola: Ederson bado namba moja City

MANCHESTER, EnglandKOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amesisitiza kuwa bado Ederson ataendelea kuwa changuo la kwanza langoni msimu huu.Guardiola amekuja na kauli hiyo licha...

Recent articles