Ads: info@gazetini.co.tz |
23.1 C
Dar es Salaam

Afcon

Robo fainali AFCON 2025; Mali, Senegal na ‘derby’ ya kibabe Morocco

RABAT, Morocco NI 'derby' ya majirani wa Afrika ya Magharibi, ukiwa ni mchezo wa robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 inayoendelea nchini Morocco. Mali na...

Huyu ndiye Michael Kuka; shabiki aliyegeuka kivutio AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA umefuatilia kwa karibu mechi zote za msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), basi sura yake si...

Osimhen, Salah watinga robo fainali AFCON 2025

RABAT, Morocco MABAO mawili ya Victor Osimhen yameiwezesha timu ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Msumbiji katika mchezo wa...

Stars yang’olewa kibishi AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoshwa kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) lakini gumzo ni...

Rekodi ya Obi yavunjwa AFCON 2025

RABAT, Morocco TIMU ya soka ya taifa ya Senegal imetinga robo fainali ya msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) kwa kuifunga...

Diarra kiboko, abeba tuzo akitinga robo AFCON

RABAT, Morocco PENALTI mbili alizookoa kipa wa Yanga, Djigui Diarra, zimeiwezesha timu yake ya taifa ya Mali kuing'oa Tunisia na kutinga hatua ya robo fainali...

Osimhen: Tumejipanga kuing’oa Msumbiji

RABAT, Morocco STRAIKA wa timu ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles', Victor Osimhen, amesema wamejiandaa vizuri kwa mchezo wao wa Jumatatu ya wiki ijayo dhidi...

AFCON yamponza Aubameyang, Serikali yamtimua

LIBREVILLE, Gabon SERIKALI ya Gabon imetangaza kuvunja benchi la ufundi la timu ya soka ya taifa, ikiwa ni pamoja pia na kumtimua kikosini mshambuliaji wake,...

Uganda yaacha historia AFCON 2025

RABAT, Morocco ACHANA na kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Nigeria jana Desemba 31, 2025. Pia, sahau kuhusu kuishia hatua ya makundi ya fainali za...

Stars kumaliza ‘uteja’ kwa Morocco?

Na mwandishi wetu, Gazetini NI JUMAPILI ya wiki hii, Januari 4, 2025. Taifa Stars itakapoumana na Morocco katika mchezo wa hatua ya 16 Bora ya...

Asafiri kwa baiskeli akiifuata AFCON

RABAT, Morocco ILIKUWA ni safari ya umbali mrefu wa kilometa 3,000 akitoka Paris, Ufaransa, hadi nchini Morocco kuzifuata fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...

Kwa Eagles, hata macho ya kengeza yameuona ubora wa Stars

Na mwandishi wetu, Gazetini NI kweli Tanzania kupitia timu yake ya soka ya taifa 'Taifa Stars' imeuanza vibaya msimu huu wa fainali za Mataifa ya...

Recent articles