Ads: info@gazetini.co.tz |
23.1 C
Dar es Salaam

Afcon

Nigeria yaipiga Misri mshindi wa tatu AFCON 2025

CASABLANCA, Morocco TIMU ya taifa ya Nigeria 'Super 'Eagles' imeshika nafasi ya tatu msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) baada ya...

Nani kuibuka mfungaji bora AFCON 2025?

RABAT, Morocco KUELEKEA mchezo wa fainali wikiendi hii, Januari 18, 2026, vita ya kuiwania tuzo ya mfungaji bora wa msimu huu wa fainali za Mataifa...

AFCON 2025 … Misri yang’oka ikiacha rekodi 5

RABAT, Morocco LICHA ya kuondoshwa katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Morocco, timu ya taifa ya Misri 'Mafarao' imeacha historia ya aina yake. Misri...

AFCON … Salah na ‘mkosi’ wa kupishana na Kombe

RABAT, Morocco USHINDI wa bao 1-0 waliopata Senegal dhidi ya Misri imeendeleza mkosi kwa Mohamed Salah katika ndoto yake ya kutwaa ubingwa wa fainali za...

Mbeumo afunguka kilichowaponza AFCON

YOUNDE, Cameroon KIWANGO kibovu katika kipindi cha kwanza cha mchezo wao dhidi ya Morocco ndicho kilichoigharimu timu ya taifa ya Cameroon, kwa mujibu wa Bryan...

Nigeria v Morocco … Diaz, Osimhen nani kupasuka nusu fainali?

RABAT, Morocco WEKA kando nusu fainali ya Senegal na Misri. Nigeria dhidi ya Morocco ni vita nyingine kali ya kuisaka tiketi ya kuingia fainali msimu...

Senegal v Misri … Mane, Salah wana vita ya kisasi AFCON 2025

RABAT, Morocco UKIACHA vita ya Nigeria na Morocco, nusu fainali nyingine kali msimu huu wa fainali za AFCON ni ile itakayozikutanisha Senegal dhidi ya Misri. Ratiba...

Ethiopia yaomba uenyeji AFCON 2028

ADIS ABABA, Ethiopia SHIRIKISHO la Soka la Ethiopia (EFF) limetuma maombi ya kuziandaa fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka 2028. Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Diaz aandika historia mpya AFCON

RABAT, Morocco MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Morocco, Brahim Díaz, amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya fainali za Mataifa Afrika (AFCON) kufunga bao...

Misri v Ivory Coast; Rekodi zimemaliza kazi mapema

RABAT, Morocco TIMU ya soka ya taifa ya Ivory Coast, ambao ni mabingwa watetezi msimu huu wa fainali za AFCON, dhidi ya Misri inayoongoza kwa...

Algeria v Nigeria … Ni vita ya mabeki, washambuliaji

RABAT, Morocco MATAIFA mawili makubwa katika soka yatavaana Jumamosi hii ya Januari 10, 2026, ukiwa ni mchezo wa robo fainali ya msimu huu wa michuano...

Cameroon v Morocco; Vita ya heshima, rekodi robo fainali AFCON 2025

RABAT, Morocco NI kesho Januari 9, 2026, ambapo ni wazi mashabiki wa timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' watakuwa upande wa Cameroon katika mchezo...

Recent articles