DAR ES SALAAM, Tanzania
KATIKA fainali za Mataifa ya Afrika msimu uliopita, 2024, Taifa Stars ilikuwa sehemu ya timu zilizokuwa gumzo kwa kiasi fulani kwenye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MALI ni moja ya mataifa 24 yatakayokuwa nchini Morocco kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazoanza...
TUNIS, Tunisia
INAKUWAJE rahisi kulisahau jina la Janny Sikazwe katika historia ya michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON)? Ni ngumu.
Katika mechi ya hatua ya makundi...
RABAT, Morocco
HISTORIA inaturudisha mwaka 2015. Morocco ikiwa inatarajiwa kuwa mwenyeji, iliomba kuhairisha michuano hiyo kutokana na hofu ya kuingiziwa maambukizi ya ugonjwa wa Ebola.
Ni...
NDOLA, Zambia
MASHABIKI wa soka nchini Zambia wataendelea kuitunza kwenye kumbukumbu zao Aprili 27, 1993. Ilikuwaje siku hiyo? Endelea kusoma.
Siku hiyo, wachezaji wa timu ya...
CAIRO, Misri
FAINALI za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi Desemba 21, mwaka huu. Zitafanyika nchini Morocco.
Kati ya timu...
LOME, Togo
ILIKUWA ni mwaka 2010, ambapo kikundi cha watu wenye silaha za kivita kililiteka basi la wachezaji wa timu ya taifa ya Togo.
Ilikuwaje?
Ni...
ABIDJAN, Ivory Coast
AKIWA kwenye kiwango cha juu na mafanikio makubwa ya soka, wakati huo akiitumikia Chelsea, Didier Drogba, alijitosa katika vita ya wenyewe kwa...
CAIRO, Misri
MSIMU huu wa fainali za Mataifa Afrika (AFCON) utaanza Desemba 21, mwaka huu, na kumalizika Januari 18, mwakani.
Kama ilivyo kawaida, fainali hizo huzipa...