LOS ANGELES, Marekani
SIO jambo geni kwamba mastaa wa Hip hop nchini Marekani, Curtis Jackson '50 Cent' na Sean Combs 'Diddy', wamekuwa kwenye uhusiano mbaya...
AMSTERDAM, Uholanzi
KWA Taifa kama Uholanzi, ambalo historia yake ya kuzalisha vipaji vikubwa vya soka inafahamika, inaweza kushangaza kuona haijwahi kutwaa ubingwa wa Kombe la...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MEI 23, kama ambavyo hufanyika kila mwaka, Dunia inaadhimisha Siku ya Fistula itokanayo na uzazi, ambayo husababisha kwa asilimia 90 visa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA kila watu wanne nchini Afghanistan, watatu hawamudu mahitaji ya msingi, ambayo ni chakula, mavazi na makazi, kwa mujibu wa ripoti...
Na Hassan Mwasha
MEI 27, 2026, waumini wa Dini ya Uislam wa Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar wataungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya...
By: Benjamin Emmanuel Meshack, RN Registered Dialysis Nurse & Dialysis Applications Specialist (Hemoperfusion Technology), Tanzania
In many low- and middle-income countries, access to advanced blood...
DETROIT, Marekani
NI miaka zaidi ya 30 tangu Tupac Shakur alipofariki. Ni miaka zaidi ya hiyo tangu Eminem alipoanza kuwika katika soko la muziki wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MJADALA mkubwa kwa sasa katika soka la Tanzania, hasa Ligi Kuu Bara, ni kiwango bora alichonacho kiungo wa kimataifa wa Zambia,...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KWA misimu mitano ya hivi karibuni, KMC imekuwa ikinusurika kwenye mtego wa kushuka daraja lakini huenda safari hii ikashindwa kujinasua na...